Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,647
- 13,648
Okay, hata mimi mwaka huu nimesoma recommendations za Bookworms, sikuweka malengo kabisa. Naomba ni-list.Sina goal yoyote nasoma kama burudani. Nikiona hakivutii naacha, vitabu vingi sijamaliza na ndiyo maana mara nyingi nauliza suggestions za watu. Ila hivyo vya kwenye app ni project ya kutafsiri na kucompile vitabu vya kiswahili.
Naisubiria list yako, bila shaka nitapata viwili vitatu kwa mwakani.
Kati ya hivyo vyote, ni vipi umevikubali Sana?Okay, hata mimi mwaka huu nimesoma recommendations za Bookworms, sikuweka malengo kabisa. Naomba ni-list.
1.Slaughterhouse-5 by Kurt Vonnegut.
2.Crime and punishment ,A novel by Fyodor Dostoevsky.
3.Fahrenheit 451 by Ray Bradbury.
4.Thinking Fast and Slow by Daniel Kahneman
5.Compartment No. 6 by Rosa Liksom
6.Wife of the Gods by Kwei Quartey. Recommended by My Next Thirty Years Thirty year.
7.The Lies of Locke Lamora by Scott Lynch.
8.Jonathan Strange & Mr Norrel by Susanna Clarke was recommended by Nowonmai
9.Walk Two Moon. Hii ni kazi nzuri ya Sharon Creech.
10. Confederacy of dunces by Kennedy Toole. Recommended by you.
11.Night over water by Ken Follett. Recommended by Mr Miller .
12.The Pillars of the Earth by Ken Follett. Recommended by Nowonmai.
13.White Teeth by Zadie Smith. Recommended by Last emperor .
14.American psycho by Bret Easton Ellis.
Naweza kusema ni vyote kutoa hiyo Compartment No. 6 . Vyote ni vizuri ila nipo busy kidogo ningeelezea kimoja baada ya kingine hata wewe ungevipenda.Kati ya hivyo vyote, ni vipi umevikubali Sana?
Umetisha. Nafurahi ulisoma Confederacy of dunces😀😀😀. Mwakani naanza na hicho Walk two moon, maana umesema ni kazi nzuri.Okay, hata mimi mwaka huu nimesoma recommendations za Bookworms, sikuweka malengo kabisa. Naomba ni-list.
1.Slaughterhouse-5 by Kurt Vonnegut.
2.Crime and punishment ,A novel by Fyodor Dostoevsky.
3.Fahrenheit 451 by Ray Bradbury.
4.Thinking Fast and Slow by Daniel Kahneman
5.Compartment No. 6 by Rosa Liksom
6.Wife of the Gods by Kwei Quartey. Recommended by My Next Thirty Years Thirty year.
7.The Lies of Locke Lamora by Scott Lynch.
8.Jonathan Strange & Mr Norrel by Susanna Clarke was recommended by Nowonmai
9.Walk Two Moon. Hii ni kazi nzuri ya Sharon Creech.
10. Confederacy of dunces by Kennedy Toole. Recommended by you.
11.Night over water by Ken Follett. Recommended by Mr Miller .
12.The Pillars of the Earth by Ken Follett. Recommended by Nowonmai.
13.White Teeth by Zadie Smith. Recommended by Last emperor .
14.American psycho by Bret Easton Ellis.
Hongereni kwa kusoma vitabuNini mkuu mrangi?
Ni kazi nzuri sana, pitia hapa uone.Umetisha. Nafurahi ulisoma Confederacy of dunces😀😀😀. Mwakani naanza na hicho Walk two moon, maana umesema ni kazi nzuri.
Ipo hiyo injili itafutr uisome, japo inasadikika ni usanii flani hivi...The Gospel of Judas?
Hongera sana, Hiki Ngozo mama na Historia ya wagogo ntavipata wapi?Nami nilijiwekea utaratibubwa kusoma walao kitabu kimoja kwa Mwezi...
Nikapita kwa;-
Oliver Twist
The power of now
Thw leader who had no title
Mifupa 206
Tai kwenye mzoga
Operation panama
Tough timw never last, but tough people do
The power of vision
Historia ya Wagogo by Mnyampala
Ushuhuda wa Komando Chilewa akiwa jwtz tiss nk
Mfalme Juha
Ngozo Mama
na kadha wa kadhaa...
Nguzo Mama nadhabu Bookshop, cha Historia, Mila na Desturi ya Wagogo ntakibandika hapa nina softcopy yake!Hongera sana, Hiki Ngozo mama na Historia ya wagogo ntavipata wapi?
Naomba kama una kitabu cha Rhonda Byrne ( The secret) utupie hapa kule bookworms nilikipata lakini kimeandikwa sijui kwa lugha gani ile.Naweza kusema ni vyote kutoa hiyo Compartment No. 6 . Vyote ni vizuri ila nipo busy kidogo ningeelezea kimoja baada ya kingine hata wewe ungevipenda.
Hiki Nagona na Dunia uwanja wa fujo nitapata wapi?Biblia inasemaa-Don fleming
Biblia
Mfadhiri
Nagona
Dunia uwanja wa fujo
Rosa mistika
Mtuhumiwa
Wisdom
The richest man in babylon
kiapo
Kikosi cha siri
Kufa na kupona
Alchemest
The Secret
Asante na mimi nimekidownload nisome. Na wadau wengine mtusaidie kutuwekea vitabu nasi tuanze utamaduni wa kusoma vitabu,maana Watanzania tulio wengi wagumu sana kujisomea vitabu.Vitabu gani vizuri vya personal development?
BTW nimesoma hiki hapa. Naona ni kitabu kiziri sana mtu akitaka kujitambua. Vipi na vingine vingi nilivyosoma. Ila next year nataka nisome vitabu angalau 15 vya personal development, spiritual and financial skills.