Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

Mwaka huu nimesoma hivi


Dan Brown - Origin.

Dale Carnegie- How to win friends and influence people.

Robert Ludlum- The Bourne Betrayal.

Michael Connell- Chasing a dime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta hiki kitabu wakuu kinaitwa
capitalist niger by chika onyeani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Wangu...Red Giant.

Alivyokitaja hapo kwa list yake nilikitafuta nikisome,

Naam Nilipata kukisoma kina kurasa chache sana kuna huna mambo ni siku mbili Au moja wakimaliza.

Chika kaelezea baadhi ya mambo tuyakosayo Waafrica ukilinganisha na race zingine "Caucasians" akitaja kuwa ni (Hapa panahitajika kamusi ya kiswahili niwie radhi) Killer-Instinct,Devil May care na Spider Web Economy.

Kwa kiasi flani hivyo vitu vitatu ukivitazama kwa undani waweza kuona kama kweli kwa Africa.

Lakini watu wengi walimkosoa kwamba hoja zake ni dhaifu na zinamakosa mengi na chumvi nyingi.

Kwa mfano kunasehemu aliandika kwamba Waziri mmoja wa Japan aliwahi kusema Africa(Black People ) tunauwezo mdogo sana kiakili kiufupi na kwa lugha kali kwamba ni vilaza wa kiwango cha juu,lakini alishindwa kuweka ushaidi waziri alikiwa anaitwa nani na Ilikiwa mwaka gani..?

Jambo lingine aliaandika kuwa ukienda bara la Africa magari (BMw,Mercedes Benz,Jaguar) ni mengi kuliko Watu.


Nadhani chika alijitahidi kuonyesha Watu Weusi tunafeli Wapi,anasaidia kutanua mawazo pia kwa namna flanii.

Wacha nijaribu kukiweka kitabu hapa kama kitakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PURE SSD CHEMICAL SOLUTION FOR CLEANING BLACK NOTES

We are based on cleaning black dollars, Euros and British pounds, we work basically on % level , we provide direct cleaning solution and extraction of mercury from high currency notes to clean all the coded black dollars , Euros and pounds, for further details contact us via email below.

Please contact us via email for more details .... kerianpushkas@gmail.com

We supply SSD CHEMICAL SOLUTION specialized in cleaning all types of defaced banknotes, black banknotes, anti-breeze, stamped, marked or stained currency e.g BLACK dollars,pounds,rands,euro and all types SSD CHEMICAL SOLUTION FOR CLEANING DEFACED CURRENCY.

Please contact us via email for more details .... kerianpushkas@gmail.com

Contact email..... kerianpushkas@gmail.com
Phone number...... +237672087424
 
Mkuu kama una softcopy naomba namba mbili
 
Mm nimesoma;-
1. POWER OF POSITIVE THINKING
2.RICH DAD POOR DAD
3.THE UNCOMMON WOMAN
4.SECRETS OF NOT TO DIE


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…