Budelele Jr
Senior Member
- Jul 19, 2018
- 145
- 96
Natafuta hiki kitabu wakuu kinaitwa
capitalist niger by chika onyeani
Sent using Jamii Forums mobile app
capitalist niger by chika onyeani
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shukrani mkuu,kwa linkwww.pdfdrive.com vtabu vyte katafute huko
Huku wanaweka preview tuh, ka kuna kitabu natafuta cha chika onyeani cha capitalist niger huku kipo preview tuh, msaada kwa site nyingine unayoijuawww.pdfdrive.com vtabu vyte katafute huko
Mkuu Wangu...Red Giant.Natafuta hiki kitabu wakuu kinaitwa
capitalist niger by chika onyeani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama una softcopy naomba namba mbiliNimesoma vitabu vifuatavyo :
1. Our Philosophy
2. Blasting the foundation of Atheist
3. Where is Allah
4. Reason,Revelation and Reconstitution of Rationality.
5. Ibn Taymiyyah against the greec Logicians
6. Defining Legends
7. Vitabu vya Lugha.
8. Vitabu vya Imani yangu (Uislamu)
Mkuu kama una softcopy naomba namba mbili
Asanteh mkuuPoa. Ngoja nikuchekie.
Asanteh mkuu
Asanteh sana mkuu
Naona sijabahatika kuona aliyesoma riwaya ya kiswahili ukihitaji kitabu cha Lupita na MUFUPA MIKAVU Ni pmView attachment 1027377View attachment 1027378
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nimesoma;-Wakuu ni mwisho wa mwaka tutumie hizi siku zimebaki kujitathmini usomaji wetu kama ilivyo deaturi yetu.
Mi usomaji wangi haukuwa mzuri. Nimesoma vitabu vitatu na vingine viwili sikumaliza.
1.A god who hate. Hiki kuna member Alisina niliona amekiupload.Nikakipakua na kikanivutia kusoma. Huyu mama muandishi anaeleza maisha ya mwanamke wa kiislamu na magumu yake. Pia anashutumu imani hiyo. Kinavutia na rahisi kusoma.
View attachment 969204
2. 1984
Hiki kitabu nilianza kusoma muda ila mwaka huu nikashawishika kukimaliza. Ni fiction lakini kipo serious sana. Kinazungumzia ubaya wa ujamaa, serikali ya mabavu, uminyaji wa uhuru nk.Wakati wa Nyerere kilipigwa Marufuku sijui kama wamekifungulia.
View attachment 969669
3.The Capitalist Nigger. Haka kakitabu kuna mdau alikaweka humu ndani. Ni katkitabu kafupi kama page 50. Kanazungumzia hali ya mtu mweusi hasa kiucgumi na kielimu. Kana idea nzuri ya jinsi mtu mweusi anaweza kukomboka. Ila kaba lugha kali.View attachment 969670
4.Kitabu changu.Niliandika na kuchapa kakitabu mwaka 2013. Huwa karibu kila mwaka nakasoma. Na kila nikikasoma napata kitu kipya!!!
5.The man who mistook his wife for a hat.
Hiki kitabu nilianza zamani kusoma lakini sijakimaliza. Ni kitabu kifupi na kinavutia sana.Kinazungumzia wagonjwa wa akili wenye matatizo adimu na ya kushangaza.
View attachment 969679
6.The politics book.
Haka kakitabu kanaelezea historia ya siasa toka zama za zamani kabisa. kanaeleza kwa njia rahisi na fupi. Ni kazuri ila sijakamaliza bado.
View attachment 969683
Malcom Lumumba , Kiranga Wick mitale na midimu Nalendwa zitto junior MSEZA MKULU et al