Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Mazengo tukiita "gima" da umenikumbusha mbali sana.
Mzumbe sekondari.Mirambo Hse, yr 86-88 .tosamaganga Enzi za mkangwa
Kuna thread humu inaelezea sababu ya Kerosine kwenye vyakula vya Wanafunzi ilikuwa ni kwa ajili ya kuua Nyege... so haswa kwa Mademu....Daaah! Menikumbusha mbali sana, enzi hizo nipo Galanos boys! Kuna sehem moja hiv tulikuwa tunapenda sana kulia, tukapa name "THE GROUND OF CHALLENGE" coz baada ya kupiga hiyo kitu tulikuwa tuna-challengiana sana!
Mbaya zaid kwenye hilo harage kitu "kerosine" ilikuwa haikosekani, ikifika siku ya kande utafkir hizo kande zimepikiwa Mount Meru Petrol Station zinavyonukia hilo futa!
Mzumbe sekondari.Mirambo Hse, yr 86-88 .
top layer🙂
Kama umesoma shule ya bweni ya serikali basi hili ni jambo la kawaida sana utazoea na kupiga shule kwa furaha. Pale Tosamaganga tulikuwa tunaita Bondo, kuna jamaa aliapa kwamba akijapata ajira atapiga marufuku ugali na maharage nyumbani kwake eti kwa kuwa tulikuwa tunakula mchana na jioni chakula hicho hicho kwa mwaka mzima.
Asikudanganye mtu kikipikwa chakula hicho kwake sasa hivi anakula!!

...dah, mie hapo sina hata dalili ya kutokea duniani.
Kweli long time, japo nami nimesoma Boarding Schools.
du, kumbe na watoto mpo ndani humu!
Mdogo kwa umri tu...ila si kwa mambo mengine.
watoto wa siku hizi kazi kwelikweli. Wanaweza hata kumwamisha kikongwe nyumbani!