kakuruvi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2009
- 770
- 259
Kama umesoma shule ya bweni ya serikali basi hili ni jambo la kawaida sana utazoea na kupiga shule kwa furaha. Pale Tosamaganga tulikuwa tunaita Bondo, kuna jamaa aliapa kwamba akijapata ajira atapiga marufuku ugali na maharage nyumbani kwake eti kwa kuwa tulikuwa tunakula mchana na jioni chakula hicho hicho kwa mwaka mzima.
Asikudanganye mtu kikipikwa chakula hicho kwake sasa hivi anakula!!
Asikudanganye mtu kikipikwa chakula hicho kwake sasa hivi anakula!!