Umeshawahi kuvunja rekodi?

Asulo

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
719
251
Mimi nilivunja rekodi ya kuwa na mwandiko mzuri shule nzima mwaka 2003 ..@ St Justine High school.
Na wewe weka rekodi yako.
 
Nilivunjaga Rekodi ya Mzee, ilianguka kutoka mezani nikiwa najaribu kutafuta Redio Tanzania.....
 
Na waliovunja sinia nao hapa wana'sense ?
Kama jibu ndiyo namuachia Kongosho na Madame B wamalizie maneno yaliobaki .
 
Baada ya kumaliza pepa ya hesabu nikijiamini nshajipatia A+ mara nikagundua kuna swali moja nimechepuka kiduchu naweza kosa A yangu hivihivi.

Nikaamua nicancel nianze upya. ila ndo nalianza tu invijileta akasema two minutes left. Nikajikuta napiga bao wakati kikojoleo hakijasimama.

Hii kupiga bao kwenye chumba cha mtihani bila kikojoleo kudinda siyo rekodi ya dunia? Nipeni adress nipeleke hii makitu iwekwe kwenye gines book of rekodi.
 
@Aspirin umepitia kitu ya Arachuga nini? Karucee upo wapi kuna mchizi mwenzio hapa
 
Last edited by a moderator:

jamaa wanataka uwapelekee na proof, sasa sijui kama ulikuwa umevaa condom!?
 
Kaka si unakumbuka mambo ya LMM (last minute method)?. ile ni sawa na kukutana ba demu kichakani afu ukamlamba ngwala ili upatemo kimoja cha fasta..... kondom labda utumie majani ya upup.u!!! (eti JF neno upupuu nalo ni tusi mpaka ukiliandika liwekwe vinyota? khaa!)
 
@Aspirin umepitia kitu ya Arachuga nini? Karucee upo wapi kuna mchizi mwenzio hapa

Hahahh huyo Karucee ni he/she? isije ikawa unanipigia pande bila mi kujua. Nlishaingia kingi kipindi flani nlitongozamo Madame B na kupanga naye kideti.... maweeeee nikakutana na boooonge la dume. Nikaingiaje mitini sasa??
 
Last edited by a moderator:
Kaka si unakumbuka mambo ya LMM (last minute method)?. ile ni sawa na kukutana ba demu kichakani afu ukamlamba ngwala ili upatemo kimoja cha fasta..... kondom labda utumie majani ya upup.u!!! (eti JF neno upupuu nalo ni tusi mpaka ukiliandika liwekwe vinyota? khaa!)

Hah hah hah haaa! Mkuu kumbe LMM ulianza kitambo hivyo!? Anyway, hiyo rekodi yako haiwezi kurekodiwa!
 
Hahahh huyo Karucee ni he/she? isije ikawa unanipigia pande bila mi kujua. Nlishaingia kingi kipindi flani nlitongozamo Madame B na kupanga naye kideti.... maweeeee nikakutana na boooonge la dume. Nikaingiaje mitini sasa??

duh!? Kumbe madame B ni dume? Sasa mbona linajiita madame? Au hiyo madame ni ya kilugha!? Lol
 
Last edited by a moderator:
hahaa, alikukomeshajee thatha @Aspirin? Karucee ni she, kwa mujibu wake ye naye alikuwa mtumiaji mzuri wa kitu ya Arachuga!
 
Last edited by a moderator:
Hahahh huyo Karucee ni he/she? isije ikawa unanipigia pande bila mi kujua. Nlishaingia kingi kipindi flani nlitongozamo Madame B na kupanga naye kideti.... maweeeee nikakutana na boooonge la dume. Nikaingiaje mitini sasa??

Haaa Asprin bhana,mbona hvo? Au kwa kuwa nilikukatalia ombi lako.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kumaliza pepa ya hesabu nikijiamini nshajipatia A+ mara nikagundua kuna swali moja nimechepuka kiduchu naweza kosa A yangu hivihivi.

Nikaamua nicancel nianze upya. ila ndo nalianza tu invijileta akasema two minutes left. Nikajikuta napiga bao wakati kikojoleo hakijasimama.

Hii kupiga bao kwenye chumba cha mtihani bila kikojoleo kudinda siyo rekodi ya dunia? Nipeni adress nipeleke hii makitu iwekwe kwenye gines book of rekodi.

ingia www.guinnesworldrecord.com utapata form ni hatare mweee... wat a pis!
 
Kaka si unakumbuka mambo ya LMM (last minute method)?. ile ni sawa na kukutana ba demu kichakani afu ukamlamba ngwala ili upatemo kimoja cha fasta..... kondom labda utumie majani ya upup.u!!! (eti JF neno upupuu nalo ni tusi mpaka ukiliandika liwekwe vinyota? khaa!)

hayo ni madhara ya kule kwenye siasa hayo.. uupupu
 
Nilivunja rekodi pale niliposhinda Club siku 8 bila kurudi nyumbani.
Ni kunywa,kula na kudance.
 
Nilivunja rekodi nlipoenda guest demu akavua nguo zote nkaondoka bila kumfanya chochote..
 
Back
Top Bottom