Umeshawahi kuvunja rekodi?

Umeshawahi kuvunja rekodi?

hahahha itakua alikua na hamu sana na hakuna na uhakika kama angepewa kiasi kwamba kuona tu mchizi chaliiiiiiiii.....kajaribu style zote za amsha popo zikashindikana hahahhahha chezeyaaaa mzuka weye

Yani mzuka hauji,afu ukute ndo demu ambae ulikuwa unamfukuzia kitambo.
 
Nimevunja Rekodi ya kutembea na wasichana wote darasani kwangu tukiwa A Level mwaka 1992 toka Uwanja wa Taifa mpaka Keko Bora..
 
Nilivunja record jana ::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
 
Back
Top Bottom