maulana majaliwa
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 261
- 143
Sasa mwanamke atajuaje kama unampenda bila kumtia VITASA na MAKONZI YA SHINGO
Men should observe this, utampigaje mke wako bwana!
![]()
[emoji23] [emoji23]mi huwa namtafutia kisa mpenzi wangu ili nimdunde lakn wapi, huwa sipati kila akijaa najikuta namhurumia.sijui nifanyeje,
Hakuomba msamaha,alikua sahihi kulingana na hali iliyokuwepo..sikukosea but halikua hajajua ukweli.Aliomba msamaha? Ulihisi alikuwa sahihi..labda ulikuwa umekosea...au kwa nini?
Please badilisha hata eneo and do tell..yani nipe tu summary ya tukio. Please if you don't mind.Hakuomba msamaha,alikua sahihi kulingana na hali iliyokuwepo..sikukosea but halikua hajajua ukweli.
Well, mostly men put their hands on women, except for a few cases!How about no one should put their hands on anyone?
Sounds more fair to me...
They say, "if he (or she) hits you once, he/she will hit you again" #guaranteedHow about no one should put their hands on anyone?
Sounds more fair to me...
Well, mostly men put their hands on women, except for a few cases!
Kiongozi utakubali kutandikwa mabao na mwanamke?
Niliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
Wanaume wengine wana panic tu bila sababu ya msingi unakuta mtu kakupa makofiihawa dada zetu wakat mwingine huwa wanaudhi ss wanaume weng wetu huwa hatuna maneno sana. Sasa unakuta mwenzako anakujibu shit, mara akuambie huyu mtoto si wako, mara kwan na ww ni mwanaume au mwanaume surual yaan unajikuta umeachia kofi hilo dada.
Wakat mwingine msitujibu kwa dharau unajua mpaka mwanaume kukupiga amekuvumilia sana na amechoka kukusikiliza
Ukimpiga mkeo akitoka manundu, meno yakitoka. Kesho mkipatana utaanza wew kuona aibu na kukosa aman hata ku hang out naye.
sio hivyo mkuu mwanamke anapigwa vibao tu bac inatosha
Its a long story nikikupa summary hutoelewaPlease badilisha hata eneo and do tell..yani nipe tu summary ya tukio. Please if you don't mind.
Wanaume wengine wana panic tu bila sababu ya msingi unakuta mtu kakupa makofii
Kweli kabisa mkishajuana kwenye mapenzi mnaenda sawa japo kuna mengineyokweli dada hao wapo.
ila sema ukweli nyie wanawake mnamajibu ya nyodo duh!
Mm yashawahi kunikuta kwa wifi yako siku hiyo siwez kuhisahau nilichambwa. Nakiri nilimkosea lkn duh, nikaomba msamaha bado naendelea kuchambwa ilikuwa kweny simu. Siku hiyo duh! Alinichamba sana mpaka hasira zake zikaisha tukayamaliza tangia siku hiyo hatujawah kuingia kweny hii situation tena mpaka leo. Ukishajua mwenzako anapenda nn na hataki nn hamuwez kupigana