Aisee wale Mozambique spiting cobra ni wanene, wepesi na wanatema mate mengi sanaKwan mikoa ya kusini suala la cobra sio habar ya kushangaza maana wamepakana na msumbiji, kule wanapatikana cobra maarufu duniani wanaitwa MOZAMBIQUE SPITTING COBRA, Ni hatar na nusu[emoji4]
Sasa unaogopa hewa?Jamani mm nalala pekeyangu ivoo 😭😭😭
Ngoja nihame huu Uzi
Na wakitema wakilenga hawakosei,target Yao kubwa Ni macho [emoji4]Aisee wale Mozambique spiting cobra ni wanene, wepesi na wanatema mate mengi sana
Koboko ni yule ambaye huwa anagonga Utosi Satoh?Hapana mkuu,
Cobra ni nyoka mwingine na koboko ni mwingine pia. Na Kati ya hao wawili hatari zaidi ni koboko,ni nyoka mwenye kisirani na anapenda sifa za kijinga.
Unaweza kwenda kuchunga ng'ombe yet akaamua kukutia hasara akawagonga ng'ombe wote ili wafe tu akutie umasikini. Cobra anavimba Sana kwenye mashavu akiwa na hasira na anatema mate yenye sumu,nakumbuka cobra ameshawahi kumtia upofu ng'ombe wa shule kwa kumtemea mate yenye sumu Kali.
Kwa usimuliaji wako tayar nishahisi hivyo[emoji4]Na haya matukio yote niliyosimulia kasoro la Dangote yametokea kusini kwa mzee Membe RIP.
Hivi huwa unaniota eee😂
Duh,Hapo kwenye kumrushia fimbo ndipo ulipofeli ila sa umesema ulikuwa darasa la 5 mi nlikuwa na mfuata namchapa hadi namuua.
Ngoja kinupe kisa kimoja......
siku moja tumetoka kanisani mida ya saa saba mchana, tumekaa nje kusikilizia msosi nje kulikuwa na karundo kadogo ka matofali ya kuchoma sina hili wala lile nimekaa jirani kabisa na hayo matofali kuja kuhamaki nyoka mreefu wa rangi ya kijivu kilichokolea akamkosakosa kuku yupo kwenye yake matofali nikachukua fimbo ngumu nikaanza kuoangua tofali moja baada ya jingine nikamuona nlichofanya sikumpiga nikamminya kichwa na ile fimbo kisha nikamshika shingoni jirani kabisa na kichwa kumuinua nalingana nae urefu, maza kuona alipiga ukunga hadi majirani wakajaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] anyways kukamata nyoka nlifunzwa na wachina maana nlikulia kambi ya jeshi ambapo wachina waliishi jirani kama wakufunzi wa ndegevita. Nlikuwa form3
Koboko ukimzingua dakika 0 unamkuta katikati ya miguu yako keshafanya yake. Anaweza kukugonga mara tatu mfululizo. Yule kisirani siyo kabisa.Hapana mkuu,
Cobra ni nyoka mwingine na koboko ni mwingine pia. Na Kati ya hao wawili hatari zaidi ni koboko,ni nyoka mwenye kisirani na anapenda sifa za kijinga.
Unaweza kwenda kuchunga ng'ombe yet akaamua kukutia hasara akawagonga ng'ombe wote ili wafe tu akutie umasikini. Cobra anavimba Sana kwenye mashavu akiwa na hasira na anatema mate yenye sumu,nakumbuka cobra ameshawahi kumtia upofu ng'ombe wa shule kwa kumtemea mate yenye sumu Kali.
Unavyoelezea utafikiri unamfahamu ana kwa ana😂😂Koboko ukimzingua dakika 0 unamkuta katikati ya miguu yako keshafanya yake. Anaweza kukugonga mara tatu mfululizo. Yule kisirani siyo kabisa.
Jamaa wa kwanza kunifunza kushika nyoka alikuwa anatokea Mtwara huko nyoka ni kama mchwa so ni kitu cha kawaida. Tukiwa form one tunafyeka majani shuleni akaonekana nyoka wanafunzi wakaanza kelele yule jamaa alimbana na kwanja shingoni akamshika. 🙂🙂Duh,
Japo siogopi nyoka,ila kumshika sipendi kabisa. Huo ujasiri sijawahi kuwa nao asee!! Akinihusa mwilini bile anavyoteleza nakuwa nasisimka Sana.
Jamaa alikufa kikatili Sana.Hii nami niliisikia
Hivi chatu huwa anawekaje mtego wake akiwa ana winda?Hapo kwenye kisa cha kwanza cobra.
Kuna aina nyingi za cobra. Cobra anaerusha mate ni aina moja tu anaitwa Mozambique spitting cobra (Moza)
Angekua ni Moza angekua amekurushia mate muda mrefu sana na asingekukosa.
Kuhusu chatu yeye hana sumu ila ni hatari sana.
Tukiwa shule aliwahi kumvaa jamaa mmoja mkononi akamgonga chap mara mbili aisee yule nyoka jasiri sana. Yan alitoka kwenye tawi la mti akamvaa jamaa mkononi akajivirinvisha hapo hapo mkononi akaanza kugonga jamaa huku anashangaa.Unavyoelezea utafikiri unamfahamu ana kwa ana😂😂
Jamaa alipona kweli?Tukiwa shule aliwahi kumvaa jamaa mmoja mkononi akamgonga chap mara mbili aisee yule nyoka jasiri sana.
Alipona alikimbizwa hospital muda ule uleJamaa alipona kweli?
Kumbe ukitulia anasepa?Urambo,tabora!!koboko msikie tu,ni kiburi,mbabe na mshenzi haswa! Kuna jamaa alimpga na jiwe ikawa kosa kupita ile njia!alikua anagonga kila kinachopita hadi raia tukabadili njia,ilibid wamwue kwa gobole la magololi maana alikua tishio! pia niliwa kutana na koboko huko huko urambo ghafula aloo nilisali sala zote maana alisimama na kutoa kunitazama my next act ili ajibu,uzur nilitulia mwisho akasepa zake!almost Tabora yote koboko wapo na hawana noma na mtu ila ukimchokoza umekwenda na maji!
Ukizingatia hawa wanaofukuza, ni wale wakubwa kabisa na huwa ni warefu hasa.Yeah ni kisanga sana, mpaka nimecheka nikikumbuka mambo yake enzi hizo kwenye mashamba ya Gereza Ushora daaah! [emoji13][emoji13]
Unawafahamu Kanga na kware?
Mungu ni mwema sanaAlipona alikimbizwa hospital muda ule ule