IPO ila technically sleep paralysis unatokana mwili kufa ganzi unapolala na unashindwa kuamka na haisababishwi na ulalaji mbovuHakuna kitu Kinaitwa jinamizi..
Ulalaji mbaya( ambao hufanya ulimi kupunguza sehemu ya kupitisha hewa kuingia mwilini) Pia kujikunja sana kunakopelekea dam haisafiri vizuri hupelekea kupungiwa oxygen mwilini hivyo mwili huushiwa nguvu na Ubongo unapambana kutafuta mbinu ya kushtua mwili ili ushtuke uweze kupumua vizuri.
Hapo mara nyingi ubongo hutafuta matukio ya kutisha ili kukuamsha na ndo unachtuka unajikuta unaanza kuhema kwa haraka haraka ili kurudisha oxygen ilokuwa imepungua.
Maana Kuna mavyakula mengine bila kukimbia kimbia hayasagiki tumbon Sasa yeye anakula alafu anaenda kulala😂Apunguze kula kula kula ngano sio😄
Nilahisi tu lala chari weka mikono kifuani fumbamacho dk 20 Nakuja kukujinamiziSio jinamizi sema umelala chali ulimi ukadumbukia kwenye njia ya hewa ukiwa usingizini hivyo ukajikuta unajiokoa kwa kukosa oksijeni 🤣🤣🤣
Jinamizi sio jini au pepo wala sio lidude fulani. Nii hali tu ya kuwa kwenye ndoto ya kutisha na ambapo mwili unakuwa kama hauna coordination. Unakuwa umepata kitu wanaita sleep paralysis.Kwa upande wangu nimekabwa sana na haya majinamizi nikiwa shule x Mufindi ndanindani asee mwili mzima unakufa ganzi nguvu zinakuiisha sitasahau hio shule niliamua nibadili hostel na kusali sana ndo shida ikaisha.
Wewe mdau umeshawahi kukabwa na jinamizi usiku ilikuaje😁?
Ukilala chali usingizi ukianza tu njia ya hewa inapata shida. Sasa wakati mwili unaanza kujiokoa kwa kutafuta hewa, ubongo unatafsiri kwamba umekabwa ndio maana hata kuamka kwako unajikuta unahisi kama kukabwa huku unajitahidi kujiokoa kumbe ni jambo la kisayansi tue... Nawafundisha leo na sitorudia 😄Nilahisi tu lala chari weka mikono kifuani fumbamacho dk 20 Nakuja kukujinamizi
Unajua Yale yana Liaga usiku hadi mbwa huwa wanabweka kwa shidaUkilala chali usingizi ukianza tu njia ya hewa inapata shida. Sasa wakati mwili unaanza kujiokoa kwa kutafuta hewa, ubongo unatafsiri kwamba umekabwa ndio maana hata kuamka kwako unajikuta unahisi kama kukabwa huku unajitahidi kujiokoa kumbe ni jambo la kisayansi tue
Hebu yataje maana nipo hapa kukusaidiaUnajua Yale yana Liaga usiku hadi mbwa huwa wanabweka kwa shida
Acha kulala vibaya hakuna cha jinamizi hapo .Kwa upande wangu nimekabwa sana na haya majinamizi nikiwa shule x Mufindi ndanindani asee mwili mzima unakufa ganzi nguvu zinakuiisha sitasahau hio shule niliamua nibadili hostel na kusali sana ndo shida ikaisha.
Wewe mdau umeshawahi kukabwa na jinamizi usiku ilikuaje😁?
Ukilala chali lazima ulimi uzibe matundu ya hewa,japo wachawi huzipa pua kwa vidole wakuone unavyohaha, hakuna jinamiziKwa upande wangu nimekabwa sana na haya majinamizi nikiwa shule x Mufindi ndanindani asee mwili mzima unakufa ganzi nguvu zinakuiisha sitasahau hio shule niliamua nibadili hostel na kusali sana ndo shida ikaisha.
Wewe mdau umeshawahi kukabwa na jinamizi usiku ilikuaje😁?
Mimi nikusalimie wewe unisaideie 😂😂Hebu yataje maana nipo hapa kukusaidia
Toka 2000 mpaka leo ni 25 yrs.hao ni watu wazima.sema humu wamejaa vitoto vya 2000