Kukabwa na jinamizi wakati usiku umelala

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,092
Reaction score
34,904
KUKABWA USINGIZINI.jpg

KUKABWA NA JINAMIZI

Kukabwa na Jinamizi katika ndoto kama tunavyoita ni kitendo ambacho kinawatokea watu wengi sana.

Watu wengi hufikiri kwamba anayewakaba ni Jini lakini Tendo hilo kwa kitaalamu linajulikana kama “Mwili kupooza katika usingizi” (Sleeping Paralysis)
Tendo hilo huwa linakutokea katika muda wa sekunde 20 lakini wewe unayehusika utahisi kama dakika 5 au dakika 10.

Matukio hayo ya kijinamizi yanatofautiana na yanakutokea wakati ukiwa nusu usingizini na nusu macho.

Ukweli ni kwamba hayana madhara yoyote, ila yanakupa khofu kwa muda fulani.
Unapokabwa unakuwa na fahamu nusu. Unaweza kufungua macho, na utahisi kupiga kelele lakini watu hawakusikii, Mwili wako unakuwa hauwezi kufanya lolote na viungo vya mwili wako vinakuwa havifanyi kazi,

Inapokutokea unakuwa huwezi kunyanyua mguu wala mkono wala kichwa. Kwa ujumla unakuwa kama uliyepata “ugonjwa wa Kupooza”.
Hali hii ya kukabwa inapotokea unaweza ukamuona mtu anayetisha akiingia ndani chumbani kwako, wengine wanaona kama wanatekwa nyara au kuchukuliwa, wengine wanahisi wanabakwa, wengine wanaona wakipigwa au kukimbizwa na matukio mbali mbali ya kutisha.

Kukabwa na Jinamizi kama tunavyoiita kunatokana na sababu nyingi, ya kwanza kabisa ni jinsi wewe mwenyewe ulivyolala, mara nyingi unapolala chali mambo hayo yanakutokea, au ukiwa na jambo linalokusumbua kimaisha ambalo huwezi kulitatua linaweza kukuletea kukabwa na Jinamizi.

Sababu nyingine ni mazingira unayoishi au eneo ulilopo kama kuna makelele, au chumba kisicho na hewa ya kutosha au kuwa na mawazo kuhusu jambo fulani, au kulala na njaa au ukiwa umelala umekasirika au ndoto unazoota.

Njia ya kwanza ya kupambana na tatizo hili ni kujaribu sana lisikutokee, unatakiwa ujaribu kujua kitu gani kinakusababashia wewe kupata matatizo hayo, mfano ukijua kwamba kila ukilala chali unakabwa basi badilisha ulalaji wako, lala upande au lalia tumbo.
Ikiwa unakabwa ukiwa umelala usiku sana, au umefanya kazi ngumu, Jaribu kubadili muda wako wa kulala au punguza kufanya kazi mpaka ukachoka.

Njia nyingine ni kuhakikisha unapata muda mrefu wa kulala na umepunzika kabla ya usingizi haujakuja.

NJIA ZA HARAKA ZA KUEPUKANA NA KUKABWA NA JINAMIZI
1. Ikikutokea hali hiyo jaribu kuvuta pumzi nyingi ndani kwa sababu pumzi peke yake ndio unayoweza kuidhibiti ukiwa umekabwa.
2. Jiepushe kulala chali.
3. Punguza mawazo mengi.
4. Lala katika muda mzuri na jaribu kupata muda mrefu wa usingizi masaa 8 mpaka 10.
5. Jaribu kuwa na muda maalum wa kulala ikiwa ni saa 3 basi iwe muda huo wakati wote.
6. Jaribu kula vizuri kabla hujalala.
7. Kumbuka kwamba pamoja ya kuwa hali hii inatisha lakini haina hatari yoyote.
8. Ukihisi unakabwa jaribu sana kujitingisha, hali ya kukabwa itakwisha.
9. Ukiona kama unataka kukabwa amka kaa chini kwa dakika 5 halafu lala tena
 
Ingawa wewe mwenyewe tena umeendelea kuita jinamizi.

Hapa Wachungaji na Waganga wakiona unatoa hii elimu watakuchukia sana, maana hii ni dili, na hudai wana uwezo wa kuondoa hilo tatizo.

Hii ndio faida ya kuwa na jamii inayojishughulisha kutafuta kiini cha tatizo, Wamatumbi sisi ndio tumeng'ang'ana na hilo la jinamizi kwani akili zetu wengi ndio zimegotea hapo.
 
Mkuu na sababu yake ni nini hasa maana sio jini umesema
Kukabwa na Jinamizi kama tunavyoiita kunatokana na sababu nyingi, ya kwanza kabisa ni jinsi wewe mwenyewe ulivyolala, mara nyingi unapolala chali mambo hayo yanakutokea, au ukiwa na jambo linalokusumbua kimaisha ambalo huwezi kulitatua linaweza kukuletea kukabwa na Jinamizi.

Sababu nyingine ni mazingira unayoishi au eneo ulilopo kama kuna makelele, au chumba kisicho na hewa ya kutosha au kuwa na mawazo kuhusu jambo fulani, au kulala na njaa au ukiwa umelala umekasirika au ndoto unazoota.
 
Kukabwa na Jinamizi kama tunavyoiita kunatokana na sababu nyingi, ya kwanza kabisa ni jinsi wewe mwenyewe ulivyolala, mara nyingi unapolala chali mambo hayo yanakutokea, au ukiwa na jambo linalokusumbua kimaisha ambalo huwezi kulitatua linaweza kukuletea kukabwa na Jinamizi.

Sababu nyingine ni mazingira unayoishi au eneo ulilopo kama kuna makelele, au chumba kisicho na hewa ya kutosha au kuwa na mawazo kuhusu jambo fulani, au kulala na njaa au ukiwa umelala umekasirika au ndoto unazoota.
Dua tu ndio Silaha ya Kweli
 
Ingawa wewe mwenyewe tena umeendelea kuita jinamizi.

Hapa Wachungaji na Waganga wakiona unatoa hii elimu watakuchukia sana, maana hii ni dili, na hudai wana uwezo wa kuondoa hilo tatizo.

Hii ndio faida ya kuwa na jamii inayojishughulisha kutafuta kiini cha tatizo, Wamatumbi sisi ndio tumeng'ang'ana na hilo la jinamizi kwani akili zetu wengui ndio zimegotea hapo.
Ngoja nikaandike uzi kuhusu jinamizi.
Naona mnaandikiwa matango pori tu.
 
View attachment 1243241

KUKABWA NA JINAMIZI

Kukabwa na Jinamizi katika ndoto kama tunavyoita ni kitendo ambacho kinawatokea watu wengi sana.

Watu wengi hufikiri kwamba anayewakaba ni Jini lakini Tendo hilo kwa kitaalamu linajulikana kama “Mwili kupooza katika usingizi” (Sleeping Paralysis)
Tendo hilo huwa linakutokea katika muda wa sekunde 20 lakini wewe unayehusika utahisi kama dakika 5 au dakika 10.

Matukio hayo ya kijinamizi yanatofautiana na yanakutokea wakati ukiwa nusu usingizini na nusu macho.

Ukweli ni kwamba hayana madhara yoyote, ila yanakupa khofu kwa muda fulani.
Unapokabwa unakuwa na fahamu nusu. Unaweza kufungua macho, na utahisi kupiga kelele lakini watu hawakusikii, Mwili wako unakuwa hauwezi kufanya lolote na viungo vya mwili wako vinakuwa havifanyi kazi,

Inapokutokea unakuwa huwezi kunyanyua mguu wala mkono wala kichwa. Kwa ujumla unakuwa kama uliyepata “ugonjwa wa Kupooza”.
Hali hii ya kukabwa inapotokea unaweza ukamuona mtu anayetisha akiingia ndani chumbani kwako, wengine wanaona kama wanatekwa nyara au kuchukuliwa, wengine wanahisi wanabakwa, wengine wanaona wakipigwa au kukimbizwa na matukio mbali mbali ya kutisha.

Kukabwa na Jinamizi kama tunavyoiita kunatokana na sababu nyingi, ya kwanza kabisa ni jinsi wewe mwenyewe ulivyolala, mara nyingi unapolala chali mambo hayo yanakutokea, au ukiwa na jambo linalokusumbua kimaisha ambalo huwezi kulitatua linaweza kukuletea kukabwa na Jinamizi.

Sababu nyingine ni mazingira unayoishi au eneo ulilopo kama kuna makelele, au chumba kisicho na hewa ya kutosha au kuwa na mawazo kuhusu jambo fulani, au kulala na njaa au ukiwa umelala umekasirika au ndoto unazoota.

Njia ya kwanza ya kupambana na tatizo hili ni kujaribu sana lisikutokee, unatakiwa ujaribu kujua kitu gani kinakusababashia wewe kupata matatizo hayo, mfano ukijua kwamba kila ukilala chali unakabwa basi badilisha ulalaji wako, lala upande au lalia tumbo.
Ikiwa unakabwa ukiwa umelala usiku sana, au umefanya kazi ngumu, Jaribu kubadili muda wako wa kulala au punguza kufanya kazi mpaka ukachoka.

Njia nyingine ni kuhakikisha unapata muda mrefu wa kulala na umepunzika kabla ya usingizi haujakuja.

NJIA ZA HARAKA ZA KUEPUKANA NA KUKABWA NA JINAMIZI
1. Ikikutokea hali hiyo jaribu kuvuta pumzi nyingi ndani kwa sababu pumzi peke yake ndio unayoweza kuidhibiti ukiwa umekabwa.
2. Jiepushe kulala chali.
3. Punguza mawazo mengi.
4. Lala katika muda mzuri na jaribu kupata muda mrefu wa usingizi masaa 8 mpaka 10.
5. Jaribu kuwa na muda maalum wa kulala ikiwa ni saa 3 basi iwe muda huo wakati wote.
6. Jaribu kula vizuri kabla hujalala.
7. Kumbuka kwamba pamoja ya kuwa hali hii inatisha lakini haina hatari yoyote.
8. Ukihisi unakabwa jaribu sana kujitingisha, hali ya kukabwa itakwisha.
9. Ukiona kama unataka kukabwa amka kaa chini kwa dakika 5 halafu lala tena
Hii hali inanisumbuaga sana mpaka nasali sala zangu za mwisho
 
Uchaw upo
 
Unachosema ni kweli, na you are absolutely rightbkwenye maelezo mengi uliyotoa (japo umeendelea kutumia neno jinamizi).

Ila pamoja na maelezo yako yote hayo kuwa very clear, kule uswahilini kwetu hatutokuelewa. Ukigombana na mtu alaf usiku hiyo ikakutokea, lazima ukimbilie kwa mganga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
View attachment 1243241

KUKABWA NA JINAMIZI

Kukabwa na Jinamizi katika ndoto kama tunavyoita ni kitendo ambacho kinawatokea watu wengi sana.

Watu wengi hufikiri kwamba anayewakaba ni Jini lakini Tendo hilo kwa kitaalamu linajulikana kama “Mwili kupooza katika usingizi” (Sleeping Paralysis)
Tendo hilo huwa linakutokea katika muda wa sekunde 20 lakini wewe unayehusika utahisi kama dakika 5 au dakika 10.

Matukio hayo ya kijinamizi yanatofautiana na yanakutokea wakati ukiwa nusu usingizini na nusu macho.

Ukweli ni kwamba hayana madhara yoyote, ila yanakupa khofu kwa muda fulani.
Unapokabwa unakuwa na fahamu nusu. Unaweza kufungua macho, na utahisi kupiga kelele lakini watu hawakusikii, Mwili wako unakuwa hauwezi kufanya lolote na viungo vya mwili wako vinakuwa havifanyi kazi,

Inapokutokea unakuwa huwezi kunyanyua mguu wala mkono wala kichwa. Kwa ujumla unakuwa kama uliyepata “ugonjwa wa Kupooza”.
Hali hii ya kukabwa inapotokea unaweza ukamuona mtu anayetisha akiingia ndani chumbani kwako, wengine wanaona kama wanatekwa nyara au kuchukuliwa, wengine wanahisi wanabakwa, wengine wanaona wakipigwa au kukimbizwa na matukio mbali mbali ya kutisha.

Kukabwa na Jinamizi kama tunavyoiita kunatokana na sababu nyingi, ya kwanza kabisa ni jinsi wewe mwenyewe ulivyolala, mara nyingi unapolala chali mambo hayo yanakutokea, au ukiwa na jambo linalokusumbua kimaisha ambalo huwezi kulitatua linaweza kukuletea kukabwa na Jinamizi.

Sababu nyingine ni mazingira unayoishi au eneo ulilopo kama kuna makelele, au chumba kisicho na hewa ya kutosha au kuwa na mawazo kuhusu jambo fulani, au kulala na njaa au ukiwa umelala umekasirika au ndoto unazoota.

Njia ya kwanza ya kupambana na tatizo hili ni kujaribu sana lisikutokee, unatakiwa ujaribu kujua kitu gani kinakusababashia wewe kupata matatizo hayo, mfano ukijua kwamba kila ukilala chali unakabwa basi badilisha ulalaji wako, lala upande au lalia tumbo.
Ikiwa unakabwa ukiwa umelala usiku sana, au umefanya kazi ngumu, Jaribu kubadili muda wako wa kulala au punguza kufanya kazi mpaka ukachoka.

Njia nyingine ni kuhakikisha unapata muda mrefu wa kulala na umepunzika kabla ya usingizi haujakuja.

NJIA ZA HARAKA ZA KUEPUKANA NA KUKABWA NA JINAMIZI
1. Ikikutokea hali hiyo jaribu kuvuta pumzi nyingi ndani kwa sababu pumzi peke yake ndio unayoweza kuidhibiti ukiwa umekabwa.
2. Jiepushe kulala chali.
3. Punguza mawazo mengi.
4. Lala katika muda mzuri na jaribu kupata muda mrefu wa usingizi masaa 8 mpaka 10.
5. Jaribu kuwa na muda maalum wa kulala ikiwa ni saa 3 basi iwe muda huo wakati wote.
6. Jaribu kula vizuri kabla hujalala.
7. Kumbuka kwamba pamoja ya kuwa hali hii inatisha lakini haina hatari yoyote.
8. Ukihisi unakabwa jaribu sana kujitingisha, hali ya kukabwa itakwisha.
9. Ukiona kama unataka kukabwa amka kaa chini kwa dakika 5 halafu lala tena

Waganga wa jadi na wachonganishi naona tayari wameanza kukosoa somo.😀😀
 
Kazi kwako kuamini au kuto kuamini mchanga wa pwani huo.....

Mkuu samahani,nina mtoto ana mwaka na miezi nane ghafla ameanza kukataa chakula,akila kidogo unaona jasho linaanza kumtoka ikifuatiwa na kutapika. Ni wa kiume,msaada tafadhali
 
Mpeleke hospitali akapate vipimo na uchunguzi zaidi.
 
Mkuu nilishampeleka kwani hii ni mara ya pili,ila wakamlaza na kumtundikia dripu za maji na flgly. Majibu hospitali hayakuwa straight sana,yako too general kwani walisema atakuwa na infection.
 
Nafikiri itakuwa sahihi na msaada zaidi ukimpeleka kwenye hospitali ambayo.kuna daktari bingwa wa watoto,kwa maana hizihospitali zetu nyingi zimebaki jina tu na majengo.
Ishu kama hii ilishamtokea mtoto wangu nilimpeleka hospitali zaidi ya nne bila kupata ufumbuzi,ndipo nikaelekezwa kumuona daktari bingwa wa watoto akamfanyia vipimo na matibabu mpaka leo mtoto ni mzima wa afya.
 
Back
Top Bottom