Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,549
Yani hata screen shot ukipiga inadunda,haifai kitu!! Ni kubaya jamani kunatisha! Halafu ukiingia usizibe camera na kidole wanaweza kuchukua fingerprint,na pia nahisi idara za usalama karibia zote macho yao yapo kodo kule kupiga doria...japo hata hao madeveloper wao ni noma sana!
