umeota nini leo?

Kuwa muwazi tu,funguka,twambie usiku wa kuamkia leo umeota nini?
Bishanga nimeota gfsonwin ananitongoza,nikamtolea nje kudadadeki,chezeiya bishanga mi natoka na wanawake wa kitasha tu.
Hahahahaha, Bishanga una vituko wewe lol
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha nimechekaje. Usimchezee mchaga kabisa kuhusu maswala ya kutafuta pesa.

Swali, ndo ulovvyoota usiku Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Frankly nililala masaa mawili tuu na nikaota mwanangua amekuwa mkuubwa anatembea, anakimbia na aanaongea nikampa buku akanunue vocha dukani, na akaenda akaniletea na akanambia "mama nipe simu nikuwekee vocha basi" nikahtuka sikulala teena hadi kunakucha
 
Kumbe umepata mtoto! Kweli safari ya Tanga ilikuwa na mafanikio! Arushaone ataitwa baba sasa!
 
Last edited by a moderator:

KOKUTONA, Filipo yuko chini ya miguu yako anaomba umuote.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…