Umeoa wake watatu bado unachepuka

Umeoa wake watatu bado unachepuka

Imekaaje hii mtu ameoa wake watatu lakin bado analala kwa mchepuko huku akijua kuwa wake zake hawatafahamu kwasababu mwenye zamu atadhan labda amelala kwa mke mwingine na cku iliyo fuata akaenda kuwauliza wenzie kila mmoja akashangaa kuwa mume wao hakulala kwa nyumba zake bali amechepuka hii ni hatar
............................,.........!!!!!
.......................................
.............................................................. .........................????
 
Imekaaje hii mtu ameoa wake watatu lakin bado analala kwa mchepuko huku akijua kuwa wake zake hawatafahamu kwasababu mwenye zamu atadhan labda amelala kwa mke mwingine na cku iliyo fuata akaenda kuwauliza wenzie kila mmoja akashangaa kuwa mume wao hakulala kwa nyumba zake bali amechepuka hii ni hatar
Issue hapa si wake watatu au kumi, issue ni kwamba men are polygamist by nature, yaani all the time anataka apate mtu mpya,ukweli ndio huo. Hao watatu wote kashawazoea,
 
kabisaaaa yani watu mnapanga foleni kisa dushe wkt zipo nyingi tu.
Asikwambie mtu supply ya dushe ni ndogo sana ukilinganisha na demand, its almost 3times...

Hata statistics zinakiri wanaume wachache kuliko wanawake, Bado hujatoa wanaume wa Dar...

Waacheni wanawake angalau kila mmoja aonje raha ,mkisema one by one wanawake wengi sana watakosa Mtombo
 
Duu asara,sasa ukute huyo jamaa mzinzi alafu anakimbamia na mbaya zaidi hata hichi kibamia kukitumia hajui basi aibu tupu
kujifedhehesha tuu kwa pesa yako mwenyewe..
Tatizo sio kibamia watu siku hizi wanafyonza Mbunye na Tigo kwa hiyo utamu anaupata kwa njia ya ulimi bibie.
 
Leo nimefahamu jambo jipya. Kumbe wanakutanaga na kuelezana anavo wafanyia chumbani? Dah! Sasa ukute kati yao kuna mwenye kidatu au mtera, anawaambiaje wenzake? Ndo maana jamaa kaamua kuchepuka. Labda wote mtera, kihanzi na kidatu. Ulete mafuriko ndani ya nini?
 
kua na wake wa3 automatically ww ni mchepukaji ulie halal
 
Asikwambie mtu supply ya dushe ni ndogo sana ukilinganisha na demand, its almost 3times...

Hata statistics zinakiri wanaume wachache kuliko wanawake, Bado hujatoa wanaume wa Dar...

Waacheni wanawake angalau kila mmoja aonje raha ,mkisema one by one wanawake wengi sana watakosa Mtombo
Hili swala hua na mwambia mke wangu.... ni ukwel mchungu
 
Leo nimefahamu jambo jipya. Kumbe wanakutanaga na kuelezana anavo wafanyia chumbani? Dah! Sasa ukute kati yao kuna mwenye kidatu au mtera, anawaambiaje wenzake? Ndo maana jamaa kaamua kuchepuka. Labda wote mtera, kihanzi na kidatu. Ulete mafuriko ndani ya nini?
Hahahaa
 
Back
Top Bottom