msaidie basi.......
ukiwa heart broken usisikilize love songs ...sikiliza news only
Duh hapa kusamehe na kusahau yahusika.
Binafsi nilishasamehe iliyobaki ni aibu tu kutoka kwa ndugu na majiran
Binafsi nilishasamehe iliyobaki ni aibu tu kutoka kwa ndugu na majiran
Miaka miwil
Ukiamua kusonga mbele unaweza, ila hapo hujaamua
pole sana... wanaume ni watendaji wazuri sana aisee!Wazima???
Sina mda mrefu tangu nimetendwa!! Nilianza kusahau sasa nimekaa zangu nikasikia wimbo wa christian bella akiwa na maraika band NAKUITAJI dah!! Umenikumbusha machungu jamani mapenzi yanauma asikwambie mtu hasa ukitendwa na mtu usiemtarajia
Nilishaamua ndugu hizi ni fikra tu sio rahisi kuzisahau kwa haraka