I see it too buddy.I see karuceemania kwenye hii thread
ha ha ha ha kwi kwi kwi charminglady umeua, ama kweli maisha bora kwa kila MtzKaribu tena jamvini... Ila usisahau kuvua hizo kandambili zako make ni juzi tu tumenunua jamvi jipya....
![]()
The feeling is mutual hun.
You are cherished.
If only.... but then.... sigh...
Sic...! What are you try to tell him?
He doesn't need an interpreter. He understands the language he and I speak.
Najua hujijui kama huwa unanikosha..
Najua pia hujui kama umebarikiwa moyo wa upendo...
Sijui ni Mimi tu au na wengine wanakuona ivo?..naomba nikukute ukingalipo..
anyway umenifanya nirudi JF mapema maana nakukosa..
Am back again where I belong to..
nilikupa ka'homework' kidogo
nipe mji kama umeshindwa...