Umenifanya nirudi JF mapema!

Umenifanya nirudi JF mapema!

Karibu tena jamvini... Ila usisahau kuvua hizo kandambili zako make ni juzi tu tumenunua jamvi jipya....

579634_488324037852175_657329629_n.jpg
 
muda si mrefu nami excel ntapotea jukwaani,

naomba nianze kuaga mdogo mdogo,

maji yameanza kunifika shingoni, sina budi kubwaga manyanga,

watakuja wengine wenye swaga zaidi ya excel.

Aaaah wee.........sogea huko........
 
dah karibu sana kaka SnowBall nafurahi sana kukuona tena jukwaani mwa Jf karibu sana nilikumiss kwa sana tu jamani.
 
Last edited by a moderator:
dah karibu sana kaka SnowBall nafurahi sana kukuona tena jukwaani mwa Jf karibu sana nilikumiss kwa sana tu jamani.

Oh..my friend upogo?
Nice to meet u again (dozo yoroshiku onegai shimasu)
Missed you too aisee
 
Hivi wewe ni Ke au Me tuanzie hapo
Karucee njoo haraka wahtajika huku, utoe jamvi barazani SnowBall aketi kitako tumuulize huko alikokua katuletea nini?

You know its not true.
hivi kumbe SnowBall anamwita Karucee?? ooooh my.... oooh!!!

No, its not
Ni kweli wamwita Karucee?

Welcome back bro. See you around.
Duh...I am speechless
is it really that the chemistry between us is so easily visible to everyone or just guessing?
ila akija tu ntakusontea ...though nammiss sana Karucee pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom