Umemuona sakapal? Mfatilie hapa.......................... .

Umemuona sakapal? Mfatilie hapa.......................... .

BTT: sakapal, mimi wa kigamboni utakuwa unansindikiza ferry then uendelee na walk yako si ndiyo!??

Heheheheee jamani sasa wewe utakuwa unanirudisha nyuma au ndo unanikomoa, mie natembea kuelekea home wewe unataka niende ferry tena looh!! au ulitaka nikusindikize kupiga mbizi.
 
Naomba tafsiri ya neno "kutembea' tafadhali,. Make nasikia ni matusi.

Kutembea maana yake ni kutembea kama neno lenyewe linavosomeka, nyanyua mguu wako wa kuliua juu kisha upeleke mbele kidogo kisha uweke chini. Ukiweka chini tuu mguu wa kulia hapohapo nyanyua mguu wa kushoto juu kisha uvute kuja ulipo mguu wa kulia na upitilize mbele kidogo kisha ushushe chini, ukiuweka chini tuu unanyanyua ule wa kulia na ukirudia hatua hizo utakuwa umetembea tayari, ukifanya hili zoezi kwa kufuata haya maelezo akili yako itakuwa ishapata maana ya kutembea.
 
Heheheheee jamani sasa wewe utakuwa unanirudisha nyuma au ndo unanikomoa, mie natembea kuelekea home wewe unataka niende ferry tena looh!! au ulitaka nikusindikize kupiga mbizi.

No route si ni hiyo hiyo my dear!??

unafanya kama daladala za mwananyamala - kigamboni!
 
huko unakoenda si shati/top linakuwa limelowa makwapani sana!!!!!

Kwakuwa narudi nyumbani nakuwa nimevaa nguo za mazoezi na mgongoni nimebeba begi ambalo naweka nguo zangu za kazini na pichi na simu, so kuswet kwenye nguo za mazoezi si tabu. Pia muda ninaotembea ni kuanzia saa kumi na moja jioni jua lishazama so full upepo wa along Indian Ocean.
 
Kutembea maana yake ni kutembea kama neno lenyewe linavosomeka, nyanyua mguu wako wa kuliua juu kisha upeleke mbele kidogo kisha uweke chini. Ukiweka chini tuu mguu wa kulia hapohapo nyanyua mguu wa kushoto juu kisha uvute kuja ulipo mguu wa kulia na upitilize mbele kidogo kisha ushushe chini, ukiuweka chini tuu unanyanyua ule wa kulia na ukirudia hatua hizo utakuwa umetembea tayari, ukifanya hili zoezi kwa kufuata haya maelezo akili yako itakuwa ishapata maana ya kutembea.

Mbona kuna mtu alifungwa kwa kutembea na binti yake?
 
No route si ni hiyo hiyo my dear!??

unafanya kama daladala za mwananyamala - kigamboni!

Kama ni bange ndo zimekubangua hata ukanitusi hivi nimekusamehe, ila kama sio bange mwana....ya wewe mwili wako halali yangu lazima nikutwange makonde na mateke usinisogelee tuu ndo itakuwa pona yako. Yaani mimi ni daladala..................... haya..........
 
Pia unaweza ukanunua baiskeli, mountain bike wanaziita. nazo ni nzuri kwa kuendea job pia ni sehemu ya mazoezi.
 
Mbona kuna mtu alifungwa kwa kutembea na binti yake?

Hahahahaaaaaa jamani ningekuwa mwalimu badala ya kufundisha ningekuwa nacheka hadi kipindi kinaisha hasa baada ya kukutana na wanafunzi kama wewe looh!!
Ngoja aje wifi yangu mwalimu snowhite na mwalimu @gfsown hope watakusaidia kudadavua hayo au mwalimu mwingine yeyote aliyeko humu jamvini, mie kiswahili nilipata C ya kuongeza credit za kwenda form five na hapo ndo niliachana nayo.
 
Last edited by a moderator:
Na kweli, maana kuna wengine wanakuwaga kama vile wameweka barafu kwapani linaloyeyuka kadiri joto linavyopanda

Hao ni wale wanaotembea kwa nguvu kama wako kwenye mashindano na pia wanatembea kwenye jua kali, mie natembea jioni na natembea mwendo wa kawaida wa mazoezi au wa kikakamavu na sio wa kushindana so natoka jasho la kawaida tuu na pia nakuwa kwenye nguo za mazoezi so...............
 
Kama ni bange ndo zimekubangua hata ukanitusi hivi nimekusamehe, ila kama sio bange mwana....ya wewe mwili wako halali yangu lazima nikutwange makonde na mateke usinisogelee tuu ndo itakuwa pona yako. Yaani mimi ni daladala..................... haya..........
Sakapal.... usichukie, hii ni topic yako , just jibu hoja. Humu ndani ni mchanganyiko...
 
Na mimi nataka hiyo raha ya kutembea na wewe, lakini isiwe siku ya kazi.

Jamani kutembea imekuwa raha tena na si mazoezi kasheshe, mie nimekwambia natembea monday to friday week end hapana so join me on monday to friday, pia rain days sitakuwepo.
 
Kama ni bange ndo zimekubangua hata ukanitusi hivi nimekusamehe, ila kama sio bange mwana....ya wewe mwili wako halali yangu lazima nikutwange makonde na mateke usinisogelee tuu ndo itakuwa pona yako. Yaani mimi ni daladala..................... haya..........
Haya basi we hedikopta..
 
Na mimi ngoja nianze kutembea kuanzia PUGU mpaka POSTA.!!

heheheheeee poleeee hiyo ruti inabidi ubebe mtungi wa gesi mgongoni ukichoka unawasha gesi kisha unapaa kidogo looh
 
Kwahiyo kwa maeneo ya posta tunakutana wapi na saa ngapi kwa ajili ya kuanza hayo matembezi ya mshikamano?

Saa kumi na moja kamili natoka ofcn pa kukutania na kuanza matembezi ni shell ya BP near amreef au near serena hotel saa kumi na moja na robo. Karibu.
 
hahaaa na usiombee hilo jasho lichore ramani ya Tanzania Tanzania

Jamani watu wanaogopa majasho utasema hawadinyani, au wanaoona majasho ni issue wakati wa kudinyana wanadinyana ki slow motion ili wasitoke jasho? wengine wakilala tuu wansweat hadi shuka lote linalowa aaah majasho majasho, ni njia moja wapo ya kusafisha mwili na inaonesha respiratory system inafanya kazi so sweating kwenye mazoezi ni kawaida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom