umenikumbusha mambo ya shuttler pori! mabibo to main campus!Ili wazo nimelipenda sana , kuna siku nimemwambia dada mmoja kuwa tutembee kuelekea nyumbani, ilikuwa kama 800m, akanijibu kirahisi makeup yangu. Kuna mda niliona wanafunzi wengi wanatembea kutoka mabibo Hostel kwenda Mlimani na kurudi, wenzao wakawasema eti Miinjinia hiyo. Jamaniiiiiii!
umenikumbusha mambo ya shuttler pori! mabibo to main campus!
si mchezo boom 2500 per day! miserable life aiseeee!kuna kipindi nikafoji kitambulisho cha denti na lipa sh hamsinihalafu mtu anasema yaani siku hizi napenda kutembea kweli.......
kumbe boom kwishney!!!!!!!!
Mi naomba tutembee wote
si mchezo boom 2500 per day! miserable life aiseeee!kuna kipindi nikafoji kitambulisho cha denti na lipa sh hamsini
Hahahaaaa.... Wacha tuu nichanike msamba..! Hapa nimeshaanza safari nikifika Posta nitakujulisha..!!
Na ukifika posta ofisi zimefungwa sijui utaanza safari ya kutembea kurudi kwenu madongo kuinama!??
BTT: sakapal, mimi wa kigamboni utakuwa unansindikiza ferry then uendelee na walk yako si ndiyo!??
I salute all MMU members!!
Hope u r all fine, pia poleni na uchovu na kero mlizozipata kutokana na ziara za Obama, kwa wale wakazi wa Dar.
Sasa nisiswachoshe sana mie bana nimehamia morocco near AAR Hospital (kwa sababu za kiintelijinsia) sasa tangu nihamie hapa niliamua kuanzisha kazoezi ka kutembea kwa miguu from posta hadi home nikiwa na lengo la kufanya zoezi wakati huohuo naenda home bila kukwazwa na foleni. Tangu nianze nimepata wenzangu wawili tunatembea wote ni raha sana na unakuwa fresh, if u feel like karibu ujiunge. Nilianza hii baada ya siku kama mbili kibajaji kilikuwa juu ya mawe na daladala zilikuwa za shida nikawaza kwa nini nisitembee nilipojaribu na nikaona naweza basi imekuwa ndo mtindo wangu monday to friday japo siku nyingine huwa nadoji looh.
Karibuni sana if u like usipopenda we pitiliza tuu si lazima.
Ever remaining,
Sakapal
Hiyo oficce niya babaako?
MWAMBIE naona hajui kuwa Dar ni michosho kukosa usafiri atakula vumbi la Magomeni - Fire mhhh sakapal tuwekee picha yako ya leo jioni hata kwa simu ka-Mchina unavyokatiza barabaraHali ya hewa hivi sasa inaruhusu sakapal lakini ikifika kile kipindi cha joto, kiukweli utakuwa unaingia ofisini unanuka kikwapa! Vinginevyo ni mkakati mzuri wa kujiweka fresh kiafya! Hongera
Muda ninaotembea ni jioni na si asubuhi, natembea nikiwa narudi home. Ukifatilia asubuhi hutaniona.
Viatu gani unavaa? Just wondering!
Itakuwa huna hela.... Kuna jamaa naye nilimshangaa ghafla akawa anapenda dagaa sanaaa na anawala kila siku, lakini cha ajabu huwa anayafanya hayo toka tarehe 10 hadi 24 ya kila mwezi.