Umemuona sakapal? Mfatilie hapa.......................... .

Umemuona sakapal? Mfatilie hapa.......................... .

Nilidhani hutaki kuitwa daladala kwa vile lina bei ndogo ukilinganisha na HEDIKOPTA, hata hivyo, nabadili, we AIRFORCE ONE, TENA ILE YA OBAMA...

Yaani wewe haya machungu na hasira zinamuishia Mentor maana yeye ndie aliyeanzisha sasa unazidi kumuongezea adhabu yake kwangu maana yaani mimi dege la chini, inamaana nina speed kama air force one................ kubwaaaa..........??? yaani asipite karibu yangu tuu ntaanza na konzi kweeeh kichwani labda............
 
Last edited by a moderator:
Heheheeeee Asprin bana hadi mwenge looh huntakii mema hiyo posta morocco yenyewe najitahidi tena mwenge na kurudii mmmhh we sema unataka kampani ya kukaa kebbys tuu hiyo ntakufikiria looh
Hahahaha basi tokea mwenge utarudi moroko kwa motokaa wakati mie naendelea na opereseni punguza kitambi mpaka Bunju. Liwalona liwe.... ila hii kampeni itakuwa kwa ijumaa tu, si ndio?

Hilo la kunifikiria nimeshaliweka kwenye Diary yangu, ole wako uniongopee
 
nakubali kampani yako kutembea na wewe from posta to morroco ili kuwaepuka wale wasumbufu wa psiipsii wa njiani na kwasababu utakuwa umenipa kampani na security hata vibaka hawatanisogelea wakiona naongozana na wewe basi offer ya kukaa kebbys kila ijumaa umeipata ila mie sinywi ntakula chips na mishkaki tuu maji au soda ntaenda kunywa home kisha ntarudi home kwa taxi wakati wewe ukiendeleza zoezi la kukata kitambi kwa kutembea kwa miguu hadi bunju looh heheheee sikuongopei bana
 
karibu ila hakuna kushikana mikono ni kuwa tunaongozana tuu along ali hassan mwinyi road, zingatia muda ukichelewa hatusubiri mtu ilikuepuka kutembea gizani.

mmhhh...mashariti! Hakuna shida nimekubali, na salender mikoko imekuwa..!.
 
nakubali kampani yako kutembea na wewe from posta to morroco ili kuwaepuka wale wasumbufu wa psiipsii wa njiani na kwasababu utakuwa umenipa kampani na security hata vibaka hawatanisogelea wakiona naongozana na wewe basi offer ya kukaa kebbys kila ijumaa umeipata ila mie sinywi ntakula chips na mishkaki tuu maji au soda ntaenda kunywa home kisha ntarudi home kwa taxi wakati wewe ukiendeleza zoezi la kukata kitambi kwa kutembea kwa miguu hadi bunju looh heheheee sikuongopei bana
Hapo red: Maweeeeeeeeeee!!!! Yani kujitesa kote huko ili ukate tambi afu bado unatumbukiza hayo makitu kwa tumbo..... Mamamia!! Ntasitisha mkataba wa matembezi kama ntakuwa natembea na mrembo mwenye kitambi na minyama uzembe...

Blue: hakikisha unapractice unachopreach... Mi nshaweka kwenye file langu. Kazi ianze this week.... Deal?:clap2::clap2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom