Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
kuna frend wangu naye alikuwa natembea from posta to morocco, alikuwa na kijitambi suruali zikawa zinakwama katikati ya mapaja! baada ya muda aaah kitambi kikaisha akarudia hali yake ya uhensam. na sasa naonani watu wengi tu wanatembea! nawapa moyo waendelee!!!