Umemuona sakapal? Mfatilie hapa.......................... .

Umemuona sakapal? Mfatilie hapa.......................... .

anatembea akiwa anarudi home, safi sana nimeipenda hiyo, mzungu akitembea twasema anafanya mazoezi mtz akitembea eti kafulia what the hell is that

umeaona eeeh kunya anye kuku akinya bata mchafu, hiyo along ali hassan mwinyi road wahindi kibao na wazungu wanatembea ila hawaonekani kama wamefulia, akitembea mmbogo kaishiwa, kweli mawazo finyu hayawaishi watu wasiona maendeleo. Mtu akishakuwa na gari basi hata kwenda chooni angetamani kwenda na gari, utakuta mtu kanisani ni nearby ila kwakuwa na gari basi atawasha ili nae akapaki kanisani kujaza parking tuu kumbe angeweza kwenda na miguu na kukalia kulea vitambi tuu, watu bana.
 
Jamani watu wanaogopa majasho utasema hawadinyani, au wanaoona majasho ni issue wakati wa kudinyana wanadinyana ki slow motion ili wasitoke jasho? wengine wakilala tuu wansweat hadi shuka lote linalowa aaah majasho majasho, ni njia moja wapo ya kusafisha mwili na inaonesha respiratory system inafanya kazi so sweating kwenye mazoezi ni kawaida.

ulitaka wote tuwe na mtazamo kama wako!!!!!!!!!!!!!!!!!

kwanza mapenzi ya kugegedana mnatoka majaaaasho ya nini
ni slow but for sure!!!!!!
 
Ili wazo nimelipenda sana , kuna siku nimemwambia dada mmoja kuwa tutembee kuelekea nyumbani, ilikuwa kama 800m, akanijibu kirahisi makeup yangu. Kuna mda niliona wanafunzi wengi wanatembea kutoka mabibo Hostel kwenda Mlimani na kurudi, wenzao wakawasema eti Miinjinia hiyo. Jamaniiiiiii!

Yaani tena ukiwa unavaa nguo za mazoezi un anawa uso bafuni so unatoa make up zote unaacha pores za mwili wazi na majasho yanatoka au ngozi inapata nafasi ya kupumua. Masista duu hawawezi fanya hii kumbe hawajui ni njia nzuri ya kufanya zoezi kwenye fresh a na si kwenda kubanana kwenye kachumba kenye hewa ya umeme ambapo mkisweat humo hewa inakuwa nzito na harufu ya majasho lakini ukiwa nje akaaaa kwa raha zako hata ukifyuu hewa inapotea haraka jirani yako hasikii ila mkiwa gym mtu akifyuuu weeeh na ukute gym yenyewe wanabania ac wengine mnaweza kuzimia looh
 
sakapal inabidi baada ya hako kazoezi kuzama hapo kwa rasi kontena kubalansi uzito kwa mududu choma swafiiii....

week end ndo huwa napiga mdudu huwa ninatabia ya kutokutoka nikishaingia home labda iwe otherwise.
 
angalieni sana!mkiwa wengi polisi watawapiga mabomu kwa kuwa hamna kibali cha kufunya maandamano !wakati nyie mnatembea tu!

asante kutupa angalizo uzuri wake tunakuwa kwenye sport wear so wanjua tuu tuko kwenye mazoezi na si maandamano looh
 
Mi naomba tutembee wote

karibu ila hakuna kushikana mikono ni kuwa tunaongozana tuu along ali hassan mwinyi road, zingatia muda ukichelewa hatusubiri mtu ilikuepuka kutembea gizani.
 
MWAMBIE naona hajui kuwa Dar ni michosho kukosa usafiri atakula vumbi la Magomeni - Fire mhhh sakapal tuwekee picha yako ya leo jioni hata kwa simu ka-Mchina unavyokatiza barabara

Acha kupenda picha kama wapare wewee, uje ujionee kwa macho kama hupiti ali hassan mwinyi road basi.
 
Haya basi we hedikopta..

Yaani Mentor yote hii itakuishia wewe maana yote haya yamesababishwa na wewe usalama wako ni kukaa mbali na mimi usijaribu kunisogelea itakula kwako mangumi na mateke yatahusika, mie hedikopta tena.........................
 
Last edited by a moderator:
Saa kumi na moja kamili natoka ofcn pa kukutania na kuanza matembezi ni shell ya BP near amreef au near serena hotel saa kumi na moja na robo. Karibu.
Nakumbuka ulisema huwa unavaa nguo za mazoezi, hivi huwa unabadirishia wapi..? Au huwa unakwenda ofisini na nguo za mazoezi..??

 
Jamani kutembea imekuwa raha tena na si mazoezi kasheshe, mie nimekwambia natembea monday to friday week end hapana so join me on monday to friday, pia rain days sitakuwepo.
Asante kwa kunielewa naona mwenzetu hajalielewa somo
 
Yaani Mentor yote hii itakuishia wewe maana yote haya yamesababishwa na wewe usalama wako ni kukaa mbali na mimi usijaribu kunisogelea itakula kwako mangumi na mateke yatahusika, mie hedikopta tena.........................
Nilidhani hutaki kuitwa daladala kwa vile lina bei ndogo ukilinganisha na HEDIKOPTA, hata hivyo, nabadili, we AIR FORCE ONE, TENA ILE YA OBAMA...

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom