tenanzo2012
New Member
- Jul 31, 2013
- 3
- 15
Mwandishi wa habari wa shirika la utangazaji la Uingereza BBC alimuliza swali Rais Robert Mugabe wa nchini Zimbabwe baada ya kushinda kwa mara ya sita uchaguz mkuu wa nchini mwake mwezi uliopita,
Mr President dont you think 89 years old would have been a great time to rest and retire?
Mugabe akamjibu:Have you ever asked Queen Elizabeth this Question or it is just for African leaders?
Ninyi mnaosema mugabe jembe, kichwa n.k mnaelewa tofauti kati ya malkia na rais?
Malkia siyo mtendajiBali ni uongozi wa jadi ambao wazungu walipambana kuuondoa Africa ili mamluki wapandikizwe kirahisi.
Mugabe jembe.