Umemmis nani hapa Jf?

BADILI TABIA U cant be serious, yan unakosea jina la mmeo?
Nimeifuatilia post yake kuona alipokosea jina langu sikupaona, mpaka nilipoona hii makitu hapa chini....khaa! ALikuwa ameandikaje my dear charminglady??

Last edited by BADILI TABIA; Yesterday at 22:57.

 
Last edited by a moderator:
Nimeifuatilia post yake kuona alipokosea jina langu sikupaona, mpaka nilipoona hii makitu hapa chini....khaa! ALikuwa ameandikaje my dear charminglady??

Last edited by BADILI TABIA; Yesterday at 22:57.

asiyekuwepo na lake halipo, mwanaume hupitwi. wake zako wote wamelala we macho juu juu jf. . . utasaidiwa oohooo shaur
https://www.jamiiforums.com/newreply.php
 
Last edited by a moderator:
Frankly writing namkumbuka sana Madame B. Kuwa kwake hapa jamvini huleta changamoto sana. Sijui nifanyeje arudi mapema Preta amekuwa bize naye hata mwandiko wake hapa jamvini ni wa kuvizia. Au ndiyo yale mambo yale nini? JF haizuiliki wape makavu!


jamani Arushaone papito hata nami nakukumbuka sana,
Nikinywa maji nakuona kwenye glassi,
Usijali nimesharejea na Zawadi yako ya Utukufu.
 
Last edited by a moderator:
Nimemmiss klorokwini jamani, yoyote atakayenionea kloro amwambie namtafuta. Lol.
Asprin usaidie kwa hilo... (umeelewa eeh?)
 
Last edited by a moderator:
sweetylady sweetylady...popote ulipo njoo utulize moyo wangu
 
Acha wanisaidie watakavyo, ila hii makitu sitaki msaada!! Mi bado sijatosheka



teh teh teh, kumbe ndo mana ulipata kiburi cha kupost ucku. kumbe ulikuwa kwa mama muuza. . . eeh!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…