Umeme umekatika nchi nzima?

Umeme umekatika nchi nzima?

Sasa naamini kuwa umeme!ulikatika sehemu kubwa sana ya nchi
 
Majira ya saa sita kasoro usiku maeneo ya hapa k'ndon mkwajun umeme ulikatika,m2 wa mwananyamala akanambia kwake pia umekatika,pia kuna m2 huko moro kasema umekatika,je hapo ulipo wewe umeme upo kwa usiku huu?

Maeneo ya Mbagala umekatika mara tano kwa usiku mmoja na asubuhi ukakatika tena halafu ukarudi; kisha ukakatika tena! Sijui yalikuwa matengenezo au ndiyo mgao unavyoenda!
 
Inawezekana ulikatika nchi nzima. Temeke yote confirmed haikuwa na umeme usiku huo.
 
ulikatika na JK alikuwa kwenye fundraising Mlimani city na watu wa TANESCO walikuwepo kwenye hiyo fundraising, JK akawaambia WAZEE WA MGAO MPOOOOO. Wakaona aibu wakatoka nje. Baadae wakawasha jenereta.
 
Hata njombe pia ulikatika. A need for explanation on this,pliz responsible ones come out
 
Du...! Mwanza umekatika jana saa sita usiku hadi mida hii hatujauona. Kuna mwenye feedback atujuze tatizo ni nini?
 
Wilaya mbozi magharibi umekatika majira saa tano asubuh bado haujaludi hii ndio TANZAGIZA
 
Umekatika na Dodoma mida hiyo hiyo mara 4 mfululizo katika nafasi ya tkriba dk 10 mpak 20
 
hapa nilipo saa hii hakuna umeme.....ndo tumeanza A nini?
 
Huku kwetu segerea umeshakatika mara ya tatu sasa haukai dk 10,unakata
 
Back
Top Bottom