Umeme umekatika nchi nzima?

Umeme umekatika nchi nzima?

Karibia jiji zima la Dar kwa sasa hamna umeme hadi kwenye makambi ya jeshi jwtz
 
Wamerudishaaa...saa 19:40HRS aaaaaghhhhhhh WAMEKATA TENA Huku Sinza 20:30HRS... mse*** nge sana NGELEJA NA ADAM MALIMA
 
wewe unaishi tz nzima? ama kuna mtu anaishi tz zima humu?..kwani ni mikoa yote ipo kwenye grid ya taifa mpaka uulize swali kama hilo!
 
wewe unaishi tz nzima? ama kuna mtu anaishi tz zima humu?..kwani ni mikoa yote ipo kwenye grid ya taifa mpaka uulize swali kama hilo!

we ndo umekuja kivyakovyako!s0ma vzuri thread,angalia wezio wanavyochangia
 
Mmmh mie sina hata habari maana huku kwetu ni siku ya tatu sasa gizani, wababe wameshajitwalia mafuta ya transfoma wameenda kukaangia chips.
 
Naungana nawe! Kuna mwananchi alitoka mwenge kuelekea feli, anasema baada ya umeme kukatika barabarani alikuta akali wengi sana na ni usiku mmeme
Itakuwa kuna mzigo wa magendo ulikuwa unaingizwa
 
Naungana nawe! Kuna mwananchi alitoka mwenge kuelekea feli, anasema baada ya umeme kukatika barabarani alikuta akali wengi sana na ni usiku mmeme

naic labda wazee wa intelijensia walikua DoRIA
 
Back
Top Bottom