Umeme HUOOO...

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Kabla hawajakata umeme hawa TANESCO comment fasta fasta una maoni gani,unawashauri nini? waurudishe baada ya siku ngpi? friji lako lina nini?
 
watuwekeeratibainayoelewekamdaambaoumemeutakatwanamdaambaoumemeutarudihaiwezekanihawatanescowatugeuzesisiwatumwawaumemenihayotumia.AAAAAHH.....!!WAMEKATA TENA!.
 
watuwekeratibainayoelewemdaambaoumemeutakatwanamdaambaoumemeutarudihaiwezekanihawatanesikowatugeuzesisiwatumwawaumemenihayotumia.
AAAAAHH.....!!WAMEKATA TENA!.
Nimeelewa neno WAMEKATA TENA! hayo mengine nimepata kizunguzungu kuyasoma.
 
kusema ukweli sikutaka nikoment aya maswala ya umeme mana nina kitu kimenikaba kooni kwakweli!!!
niko mkoa ambao hauna bahari so uwa namiss sana samaki changu na prawns/shrimps nk nk,sasa siku moja nikaona tangazo kwa bahati yani kwamba awa samak-baharii wanapatikana apa nilipo duka fulani,nilitoka mbio nkaenda nunua wa kumwaga tu si unajua na bei kwamba itakua juu mana ni kitoweo adimu? basi nikafika home nikawaweka frizani ilikua jumamosi kesho yake umeme si ukakatika asubuhi na haukurudi adi jumatano...sikakaa kusahau jamani!!!ss ivi nanunua mboga za majani au dagaa basi kama ni kuwaweka mda mrefu au laa mboga ya mlo wa siku iyo kama ni samaki au nyama
ama kweli watawala wametuchosha
 
Wakate tu, langu nishakodisha...mwendo wa kubadilisha mboga hapa kwangu..leo kisamvu, kesho spinach, keshokutwa sukumawiki, mtondo malopa, then kunde...yani rahaa..najichumia zangu nje wala ctaki shida.
Kweli shamba raha...natural refridgerator.
 
watuwekeeratibainayoelewekamdaambaoumemeutakatwanamdaambaoumemeutarudihaiwezekanihawatanescowatugeuzesisiwatumwawaumemenihayotumia.AAAAAHH.....!!WAMEKATA TENA!.
hahahausipoandikafastautakutaawamehakatakablaujamaliza kuandika
 
mmh naomba niwe mpangaji wenu
sasa na tanesco huko wanakuja au
ni hizi bili tunaziletewa zilizozidi
vibaya utadhani tuna machine za kukoboa
tunaklipia wana msoga?
 
Back
Top Bottom