Patriote
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 1,718
- 1,047
Yah! hiyo ni short term solution ila ukiisha utanunua kwa bei mpya! Kuna haja ya kutafuta long term solution ya hili tatizo baada ya kuhoji na kujua sababu zilizopelekea kupanda kwa gharama hizo mana isije ikawa wananchi wanaingizwa kwenye gharama ili kuneemesha mafisadi.hIVI UKINUNUA unit nyingi kabla ya hiyo tarehe si itasaidia, japo kwa miezi 4 mbele!