Hahaha..kidogo nianguke..daah naona mshenga umefanya kazi yako😉
Salam zimfikie brenda18 popote pale alipo
teeeh! I'm a match maker...! Kama huamini muulize miss chagga atakuambia, tatizo lake pesa mbele kama tai, naona jamaa alishindwa..! Tembosa kama upo anga hizi tupiamo macho kidogo..!
Lakini kama Nyamgluu anajing'ata, i'll definitely take over the race..! ha ha ha!
hahahaha!!... e bwana we ni noumer, lakini unakataa kusema unaenda hindi mara ngapi kwa mwezi..!Unajua ulivyoniita "shem" ushaniharibia sehemu? Hebu fafanua kabisa kuwa wewe ni waifu wa braza ili niwe salama.
BTW we hujawahi kunidondokea?
cc mwenyekiti Kaizer hebu kuja pande hii kwa maslahi ya chama.
Kuna maandishi yamefifia hata siyaoni.,..
Ngoja kwanza nivae mawani yangu dah!!
mapenzi na njaa mwenzio siwezi mwee mweee mweeee
Nenda PM kuna zawadi yako umetabiri vema lol
Inabidi yale maongezi yetu bibie tuyafufue, kwani sh ngapi bhana...!
Unajua ulivyoniita "shem" ushaniharibia sehemu? Hebu fafanua kabisa kuwa wewe ni waifu wa braza ili niwe salama.
BTW we hujawahi kunidondokea?
cc mwenyekiti Kaizer hebu kuja pande hii kwa maslahi ya chama.
nihisi ni kibahasha
pesa kidogo sana sh milioni moja kwa siku tu ...
Ww Kama Co Mganga Basi Ni Pweza Wa Ujerumani, Au Una Maono
hya ila nikifika moshi ujue dau linaongezekamweh mweh mweh! 1M kwa siku?
..Haya twende moshi tukadiskasi na madingi..!
hya ila nikifika moshi ujue dau linaongezeka
Unadhani naweza kusema hapana?