financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,135
- 40,702
Polee!Mawazo tu ya ulimwengu
Polee!Mawazo tu ya ulimwengu
Hao wakwe zangu wamefanya nini tena.?!!Na rafiki yangu wa kushibana, chake ni chetu na changu ni chetu!
Punguza maana usafi wake ukiangalia yale mabarafu wanayoweka humo yaweza kukupa typhoid.Mimi Kila siku nakunywa juisi ya miwa.
Asubuhi mchana na jioni..
Punguza maana usafi wake ukiangalia yale mabarafu wanayoweka humo yaweza kukupa typhoid.
Heri ule miwa kama miwa.