Umekula tunda gani leo?

Mimi leo nimekula ndizi Kama tunda kwenye mlo wangu
 

Attachments

  • IMG_20210126_220718_377.jpg
    IMG_20210126_220718_377.jpg
    122.8 KB · Views: 7
Ni mpaka Hawa alipokula tunda ndio akajitambua kuwa yuko uchi.

Ni muhimu sana kula matunda.
 
Kusema ukweli huu mwak wa 4.sijwahi kuumwa ugonjwa wowote.
Uenda juisi ya miwa imenipenda.
Na ninaponunua wanajitahidi usafi
Punguza maana usafi wake ukiangalia yale mabarafu wanayoweka humo yaweza kukupa typhoid.

Heri ule miwa kama miwa.
 
Back
Top Bottom