Anhaa yaelekea ni matamuSijui yanaitwaje Kiswahili ila yanapatikana Tanga kwa wingi
Ukiyala kwa wingi haya muda wa pooo utapenda mwenyewe na roho yako hasa kwa wale wasiopenda kunywa maji kwa wingi.
Hapo sawa hongera sana. Usiiache hiyo neema iliyoshuka kwako.
Nipe koneksheni ya mochwal mkuu nataka kutoa huduma kwa watu watulivu .
Yana kaugwadu fulani hivi na ndani mbegu zake ziko mbili au moja kubwaAnhaa yaelekea ni matamu
Sana mkuu hapo uweke na katangawizi huhuu..Juice ya Mapera huwa ni tamu haswa
Kama vipi mkuu ? Nipe dondoo
OoohYana kaugwadu fulani hivi na ndani mbegu zake ziko mbili au moja kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ya form four kwenda juu nakazalikaKama vipi mkuu ? Nipe dondoo
Ninayo hiyo mkuu
Nitashukuru sana
Linapatikana wapi, silijui hili tunda.Credit kwake Angel Nylon View attachment 1840733
Dar halipo? Ni ka stafel au. Ni tamu ee? Nije nlitafute.Zenji iyo