Mmh likoje hili...?Nimekula papai la kuvundikwa na majivu. Nilifundishwa na babu.View attachment 1765428
Papai likishakomaa usisubiri mpaka liive lenyewe unaweza kuliharakisha kwa kulikata(kulislice)kwa juu na kulipaka majivu. Siku mbili tu linaiva lote vizuuuri.Mmh likoje hili...?
Mmmmm... Nisije nikakukaribisha halafu uondoke na mtiHupaswi kutishika![]()

