Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,454
- 10,755
Kumamanga
Kumamanga
Hayo ni matunda gani ?
Toubaa!!Kumamanga

Ukiyala kwa wingi haya muda wa pooo utapenda mwenyewe na roho yako hasa kwa wale wasiopenda kunywa maji kwa wingi.
Kigagula huwa ni kazi ya maisha yote kama kuwa usalama tu.nimestaafu ulozi
Hiyo neema si mchezoNi kwa Neema tuu
Vitunda ugwadu
Shindwa shetani na haya mawazo machafu.Kumamanga
Hapo sawa hongera sana. Usiiache hiyo neema iliyoshuka kwako.
Na niweke msisitizo hapa, tunda linaoluzungumziwa hapa ni tunda litokanalo na mimea na si vinginevyo.
