Umejifunza kitu Gani kuhusu majibu ya huyu Cannibalist ( MTU anaekula nyama ZA watu)

Wazungu wa aafrica kwa RANGI?
Haujielewi wewe.
Umesoma shule gani kiongozi.
Black people original Yake NI Africa tu .huko unapowaona wamepelekwa kwa utumwa.
Kama Haiti na Jamaica NI viziwa ambavyo vimepata bahati kuingia America lakini asili yao ni AFRICA.
Hakuna mzungu mwafrika.
Mwingereza wa mwanzo alitokea afrika
 
Australia ni nchi ya watu weusi,wale wazungu ni waingereza,pamoja na new Zealand,Kama kawaida yao uovu,walikua wenyeji wakajimilikisha nchi,Kama marekani
Kumbuka kulikuwa na majahazi.uenda walikuwa wameenda kutafuta maisha.
Ila asili yao ni AFRICA.
Ukimkuta kobe juu ya mti ujue kapandishwa
 
Wazungu wa aafrica kwa RANGI?
Haujielewi wewe.
Umesoma shule gani kiongozi.
Black people original Yake NI Africa tu .huko unapowaona wamepelekwa kwa utumwa.
Kama Haiti na Jamaica NI viziwa ambavyo vimepata bahati kuingia America lakini asili yao ni AFRICA.
Hakuna mzungu mwafrika.

Unaweza kuwa upo Sahihi ila kuhusu hawa wa New papua Guinea ilikuwaje? Kuna biashara yoyote ya Utumwa kati ya Africa na kule? Na Je rangi yao na Nywele zao zinazungumziwaje maana wanafanana ngozi tuu na sisi Africans.... nielimishe
 
Ujinga kweli wakiambiwa Pogba sio MuAfrica wakati Mahrez ni Mu Afrika wanabisha
The best African player.Ni muhamedi salah kutoka Africa ambae ana rangi nyeupe kuliko ngole kante ambae ni european.
Watu hawataki kufuatilia habari na historia, mambo haya yamejaa mitandaoni ila bado watu wana imani za kale.
Nilipataga shida sana kuekewa kwa nini misri wawe warabu huku wamo Africa, je mungu aliumbaje umbaje.
Baadae nikajua kwa nini Africa kuna warabu na wapo hapa maelfu ya miaka tangu enzi na enzi.
Ukweli ni kwamba kuna ombwe katika mtaala kueleza watu wa Africa na nje ya Africa ni kina nani na walifikaje hapo walipo.
Watu hawataki kusoma wala kuuliza wamekariri walichoambiwa darasani, kumbe kuna maelfu ya information hayapo kwenye mtaala.
 
Kumbuka kulikuwa na majahazi.uenda walikuwa wameenda kutafuta maisha.
Ila asili yao ni AFRICA.
Ukimkuta kobe juu ya mti ujue kapandishwa
Kwani haiwezi kuwa kinyume chake kuwa sisi ndio tulikuja kwa majahazi nao asili yao pale pale.
Vipimo vya DNA havikubaliani kati yao na sisi, tupo tofauti kabisa.

Mnapenda kulazimisha mambo sana.
Ukisema Aboliginal asili yao mu Africa hata wazungu ,wachina nk asili yao Africa.
 
Wazungu wa aafrica kwa RANGI?
Haujielewi wewe.
Umesoma shule gani kiongozi.
Black people original Yake NI Africa tu .huko unapowaona wamepelekwa kwa utumwa.
Kama Haiti na Jamaica NI viziwa ambavyo vimepata bahati kuingia America lakini asili yao ni AFRICA.
Hakuna mzungu mwafrika.
Wewe ndie huelewi chief,soma history usibishane bila kuelewa
 
Halafu wana specie za watu weusi ambao ni Giants sana kule New Papua Guinea

Hio ni mchi yenye viandunje kama kongo. Google video yenye kichwa the shortest people on earth.

Hivyo vijamaa vipo very primitive ndio maana vinakula nyama za watu.

Ni watu waliokosa protini ya kutosha, nyama yao kubwa ni nguruwe pori, panya.

Vile vile vinatumia asali, wadudu na magome ya miti.

Kuna vikabika huko vinaishi juu ya miti,vyani hivyo vijamaa wahadzabe wapo mbele sana.

Inasemekana ni vichawi hatari ,vinaweza kukudhuru kwa uchawi ukawa nyama yao ukienda kichwa kichwa.
 
Kumbuka kulikuwa na majahazi.uenda walikuwa wameenda kutafuta maisha.
Ila asili yao ni AFRICA.
Ukimkuta kobe juu ya mti ujue kapandishwa
Mwafrika ndiyo mtu original,wengine wanatokana na unyumbulifu(evolution) wa huyu original
 
Unaweza kuwa upo Sahihi ila kuhusu hawa wa New papua Guinea ilikuwaje? Kuna biashara yoyote ya Utumwa kati ya Africa na kule? Na Je rangi yao na Nywele zao zinazungumziwaje maana wanafanana ngozi tuu na sisi Africans.... nielimishe
Nadhani unajua kabla ya kumeguka hii dunia ILIKUA TUFE MOJA.
Na ndo maana Haiti ni kisiwa, Jamaica NI kisiwa na hyo new Papua NI kisiwa.
Labda ungeniambia hizo nchi zipo katikati ya bara la America kusini
 
Kwani haiwezi kuwa kinyume chake kuwa sisi ndio tulikuja kwa majahazi nao asili yao pale pale.
Vipimo vya DNA havikubaliani kati yao na sisi, tupo tofauti kabisa.

Mnapenda kulazimisha mambo sana.
Ukisema Aboliginal asili yao mu Africa hata wazungu ,wachina nk asili yao Africa.
Tembea dunia nzima hauwezi kumkuta mzungu mwafrika.
 
Back
Top Bottom