Umegundua nini katika video ya ujio huu wa Mamelodi Sundowns?

Mimi nimeona viongozi, benchi la ufundi, na baadhi ya wachezaji walikuwa wanainama inama(kama wanasalimia kitu fulani kisichoonekana) wakati wanatoka kwenye lango kuu.

Hiyo gesture imenishangaza. Awali nilifikiri wanasalimia wenyeji wao, ila nikashtuka baadhi wanafanya hivyo kwenye eneo la wazi lisilo na mtu mwingine isipokuwa wao tu.
 
Back
Top Bottom