Ndugu watanzania tunahitaji serikali ya majimbo ili kuondokana na umasikini. Bilashaka Singida ingekuwa na serikali ya kujitegemea kama jimbo, bilashaka wangekuwa na uwanja mzuri na yao yangekuwa juu kwa ujumla. Lakini kwa sasa kila kitu kinaratibiwa na serikali kuu ya kifisadi. Je ingekuwaje mikoa yote yenye madini kama ingekuwa inajitegemea kwa mapato na uwekezaji ndani mikoa hiyo? Funguka watanzania katiba mpya hiyo yaja!
mzima wewe?? sichakachu bana lol! unajua niisha sahau kwamba hili ni jukwaa tofauti lol! am sorry na :shut-mouth:
Mi mzma. Umeadmika sana. Uko poa?
niko poa shshshshshhhhhhhhhhhh!
amjambo mabinti warembo?
hatujambo mbona unachakachua uzi wako mwnyw??
View attachment 72924View attachment 72925View attachment 72926View attachment 72926View attachment 72927
uwanja wa ndege huo,harafu viongoz wetu kila siku wanasafiri sijui awaoni viwanja vya ndege uko
Vya huko vinakidhi ya huko na vya huku vinakidhi ya huku, sasa tatizo la nini iwapo yetu yanatuendea?
Mwemwemwemweee bado tuna safari ndefu kufikia lugha ya watu!! Mkuu kwani kulikuwa na ulazima sanaaa kuijibu hoja kwa lugha aliyotumia Makindi?are you ask or what?
Mwemwemwemweee bado tuna safari ndefu kufikia lugha ya watu!! Mkuu kwani kulikuwa na ulazima sanaaa kuijibu hoja kwa lugha aliyotumia Makindi?are you ask or what?
Mkuu hivi umewahi kutumia AIR PORT ya jiji la Mwanza na kuona sehemu wanayowekea mizigo ya abiria? Yaani kama una begi safi wao hawajali litatupwa chini sakafuni kwenye kachemba kadogo ili watu wajichagulie wenyewekiasi kwamba sio kila mtu anaweza kuona nani anachukua begi lipi utafikiri ilala soko la nguo za mitumba.
Mkuu hiyo iliwahi kunikuta uwanja huohuo, hata leo ukiangalia paa lao la zege limejaa ramani za kuvuja maji. Tuombe Mungu aepushe maafa lisije kuangukia abiria siku moja.mimi binafsi sipendezwi na viwanja vyetu vya ndege,kuna siku uwanja wa kimataifa wa mwalimu nyerere ulikuwa unavuja maji,mvua ilikuwa inanyesha abiria wanaosubiria ndege ilibid waame ame,wafanyakaz wa uwanja wakaja kuweka ndoo,nilishikwa na bonge la aibu,mbaya zaidi nilikuwa na marafik zangu wa kigeni
Mkuu hiyo iliwahi kunikuta uwanja huohuo, hata leo ukiangalia paa lao la zege limejaa ramani za kuvuja maji. Tuombe Mungu aepushe maafa lisije kuangukia abiria siku moja.
Mkuu kwani wataona wapi hali hiyo wakati wanatumia VIP.yani mimi naona aibu sana na kujisikia vibaya sana,sasa jk na watu wake wanasafiri kila siku na wako na furaha kabisa nashindwa kuelewa,na uwanja unapokea pesa ndefu sana kila saa kila siku,wananiuzi sana awa watu
Mkuu kwani wataona wapi hali hiyo wakati wanatumia VIP.
Mwemwemwemweee bado tuna safari ndefu kufikia lugha ya watu!! Mkuu kwani kulikuwa na ulazima sanaaa kuijibu hoja kwa lugha aliyotumia Makindi?