Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,349
- 8,276
Lengo kubwa la Application ya Linkedin ni kuwakutanisha wataalamu na wabobezi kwenye sekta mbalimbali, na kutengeneza njia zaidi kwenye uzalishaji na kukua kwa vile ambavyo wanavifanya.
Ndani ya Linkedin kuna kampuni zaidi ya Milioni 57 ambazo huonesha bidhaa, huduma na fursa za kazi duniani kote.
Watu ambao wasifu wao hutazamwa zaidi na watu kwenye mtandao huu ni wakurugenzi wa makampuni, wajasiriamali, wafanyabiashara na wagavi kwenye vitivo mbalimbali.
Kitu ambacho huwenda kimefichwa kwa walio wengi kwenye mtandao wa linkedin.

- Ipo feature inayofahamika kama "Open Candidates" hii inakuwezesha mtumiaji wa application ya linkedin kuomba fursa nyingine ya kazi pasi na mwajiri wako kufahamu.
- Kwenye eneo la ujuzi ulionao epuka kuweka juzi hizi Leadership, communication, project management na team work, kwani idadi kubwa ya watumiaji wa mtandao huu wamejaza hizi.
- Linkedin inamuwezesha mtumiaji wake kusoma kozi za mtandaoni kupitia ''Linkedin Learning'' ambayo ni makhususi kwa lengo la kukuongezea ujuzi kwenye taaluma yako.