Umeanza na kitabu gani 2016?

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
Moja ya hatua bora kabisa 2016 ni kuchukua uamuzi wa kusoma, Kama unavoshauriwa kufanya mazoezi uwe na afya,upungue uzito etc, Scientifically inashauriwa angalau ujenge tabia ya kujisomea vitabu maana ndio Zoezi pekee la Ubongo lenye matokeo ya haraka.

Panga sasa.

Mimi naanza na kitabu cha zamani kabisa, kikisindikizwa na Chapter Moja ya Biblia Kila siku.
The Moral Sayings of Publius Syrus, A Roman slave from syria.

The Moral Sayings of Publius Syrus, a Roman Slave: From the Latin
Nakisomea kwa hii link hii hapo juu, kina page 88.

Wewe unaanza mwaka na kitabu gani????????
 
Last edited:
Moja ya hatua bora kabisa 2016 ni kuchukua uamuzi wa kusoma, Hii itakufanya mwakani kuwa mtu tofauti na unavyoanza leo.

Ufisadi wa Lowasa na Umaskini wa TanZania

Mkuki na nyota Pub.
 
Kuna kitabu nilikisoma zamani sikukielewa enzi hizo natamani nikirudie sasa hivi kukisoma upya kwani nilikuwa nimeanza kusoma kitabu cha MHUBIRI nikakikumbuka. kinaitwa UA LA FARAJA.
Mwenye link itakayoniwezesha kukipata naomba aweke hapa tafadhali
 
nilijaribu the Godfather,ila kama kinaniboa hivi,hivi patamu panaanzia ukurasa gani!maana kinaboa sana.

bora nianze kusoma vitabu vya self improvement!
 
Mimi tangu a 2015 naunguruma naTomorrow's Battlefield: U.S. Proxy Wars and Secret Ops in Africa by Nick Turse

Moja ya hatua bora kabisa 2016 ni kuchukua uamuzi wa kusoma, Hii itakufanya mwakani kuwa mtu tofauti na unavyoanza leo.

Panga sasa.

Mimi naanza na kitabu cha zamani kabisa, kikisindikizwa na Chapter Moja ya Biblia Kila siku.
The Moral Sayings of Publius Syrus, A Roman slave from syria.

The Moral Sayings of Publius Syrus, a Roman Slave: From the Latin
Nakisomea kwa hii link hii hapo juu, kina page 88.

Wewe unaanza mwaka na kitabu gani????????
 
wiki iliyopita nimemaliza The stone for Danny flasher by Harold Robbin ,kiliishia kunitoa chozi tu,kitabu kimejaa majonzi mpaka basi,duh!.....
 
Back
Top Bottom