Umeanza na kitabu gani 2016?

Umeanza na kitabu gani 2016?

Mkuu mi nimeshamaliza viwili. chakwanza ni Mungu katika Historia kina kurasa 117. kimeandikwa na DR Hans Heinz. na chapili Uongozi wa kiroho kina kurasa 168. kimeandikwa na J.Oswald Sanders. tupo pamoja.
 
Mimi nimepata kitabu cha rick warren : the life driven purpose. Kiko powa
 
Back
Top Bottom