john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,080
Mkuu una soft copy uniachie au naweza pata vp hardcopy NashukuruWho Will Cry when you die
By Robin Sharma
Mkuu una soft copy uniachie au naweza pata vp hardcopy NashukuruWho Will Cry when you die
By Robin Sharma
Nisaidie link mkuu tukishushe pamoja hichiWho Will Cry when you die
By Robin Sharma
utafiti unaonyesha hakuna excuse ya mtu kutokusoma kitabu.da.. kwa elimu yetu ya kibongo naishia kusoma desa tu.. hata mda wa kusoma vitabu vya ziada sina..
Nisaidie link mkuuwiki iliyopita nimemaliza The stone for Danny flasher by Harold Robbin ,kiliishia kunitoa chozi tu,kitabu kimejaa majonzi mpaka basi,duh!.....
duu, teachable.@msezamkulu story inaanza Danny akiwa na miaka 8,ilikuwa fanily ya kiyahudi mjini New york,ni hadithi imejaa mikosi balaa,babake danny siku ya birth ya danny alinunua nyumba wakahamia na akamwambia mwanae hiyo ni zawadi yako ya birthday!
kipindi hicho wayahudi wakichukiwa sana kwa tuhuma za kumuua kristo.
ile nyumba ilikua na mikosi,walipohamia tu hapo kila kitu kikaanza kwenda kombo,mzee biashara zikagoma hadi akafirisika,kula ikawa ngumu,kulipa bili ikawa ishu!danny akajiingiza katika dondi za mitaani ili kupata pesa za kulisha family!
wakafukuzwa kwenye nyumba yao kwani walikua bado wanadaiwa na benki,wakahamia gheto.
danny akapendana na binti mmoja wa kikristo,family zote mbili hazikukubaliana juu ya tofaui ya imani.
danny alikuwa mpiganaji mzuri wa dondi sasa alifika fainal,mafia wakamfuata na kumwambia pambano la mwisho lazima ashindwe kwani kuna?mafia walikuwa wamebet.danny akachukua pesa na hakufanya kama mafia walivyotaka!
hapo ndo moto ulipowaka ulipoanza msako wa hayawani.
mwisho alikuja kumake money,kosa alilofanya kurudi kuinunua ile nyumba yao tena,licha ya mkewe kumwambia ina mkosi!
siku anahamia tu ,mikosi ikaanza upya,,,,,,,,,,,ALIKUFA
Unakosa uhondo na maarifa mengi mkuu. Jaribu kutafuta kitabu kidogo halafu utaona, kisiwe kikubwa kitakukatisha tamaa mapema. Watakuja wenye kujua vizuri watakushauri jinsi ya kuanza.
Ahsante, ushauri nimeupokea. Ntajitahidi.Kama ambavyo unashauriwa kufanya mazoezi ya mwili. Ubongo wako pia unahitaji mazoezi ili usisinyae au kudumaa.
Mazoezi ya ubongo bora kabisa ni kusoma vitabu(mental stimulation).
hii ni moja kati ya faida lukuku. Anza kidogo kidogo mkuu. sio rahisi lakini inawezekana
hiki kipo cha kiswahili#charminglady? kuna rafiki nataka nimnunulie.
Huwa naona vya kiingereza tu, tena softcopy
Athante ntapita mitaa hiyoNdio mkuu vipo vingi tu... Kama uko Dsm nenda Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni Mwembechai. Other wise ulizia ofisi ya Jimbo kuu eneo ulilopo....