Umeadimika kama msele wa treni.
umeadimika kama milanngo ya tractor.
Umeadimika kama honi ya ndege.
Umeadimika kama thead ya mod
,,,,,hebu ongezea *yako hapo!
Mkuu umenikumbusha mbali sana.........long time kitambo sijaona hizi gari majuzi kati ndiyo nikaona FIAT moja choka mbaya limebebea magogo kutoka Olmotonyi Misitu linashuka Ngara
Ila zote lililopotea ni yale mabasi aina ya Layland Dafu (sina uhakika na hizi spelling)
Umeadimika kama kiyoyozi (AC) kwenye bajaj, umeadimika kama mgomo wa wanajeshi,umeadimika kama moshi wa mabomu ya machozi,umeadimika kama mvua za elnino,umeadimika kama stori za kikombe cha babu,umeadimika kama...,duh.umeadimika kishenzi