Hee wifi vip mbona kimya ivoo eti mamii nin tatizo au nawe unaona shida kaka mentor hayupo ila naomba ulale bana kuna watu wajifanya polis jamii hapa hawakawii kukupiga kabali
wifi usingizi hauji, kitanda kimekuwa kikubwa, jamani Mentor arudi bhana!
Lolest jamsn wifi kaka mento jpul au tatu anarudi sawa mama
Haswaa! Mamsap, afu kesho usisahau kumpokea wifiyo ma'sister, anakuja amepanda Bus laitwa "Makavu bus service" kutokea Tanga.
Aaaaaaw be... Beeib hebu bana mbona bado ipo macho aaaaaaa mihayo hii looh hebu nana achana na mazipompapompa bana yanin muache tuu keshajisoma labda atakua nati moja haipo kwa head hold me hold me hunie mmmmmh achana na masimu baaaana
Haya ma love sa sio hapo banaNshaiweka kulee , geuka huku basi swirry !
nini kinaendelea hapa? morning u guys! ni nssf au kuna mengine?
Mwenzangu hunie wangu wamemkera sijui nin?morning mamie, nahc kuna mtu kamuudhi mtoa mada. . .
We bt haimbii mipasho jg amejaribu kuwa malenga wapyaWeeeeeeeeee umeanza lini kuimba mipasho? Loh....
We bt haimbii mipasho jg amejaribu kuwa malenga wapya