Umbo Namba (8): Figure Eight (8)

Mkuu @Allien hawa wote cha mtoto kama unasafiri njia ya kati basi jaribu kusimama Dodoma stendi ya malori kuna binti anaitwa namba saba ukimkosa hapo nakuhakikishia atakuwa Bahi,siku utakayomuona huyo utakubali ninayosema...

Mzee kama vipi njoo chemba niko Dom leo, yaani naona hii ni bahati yangu nielezee zaidi mambo ya namba saba nimtafute bana!!
 
Huyo umbo namba 8 ananichanganya,
Kusema kweli mi nampenda sana,
..........................................
..........................................
 
Back
Top Bottom