Katika fumbo maumbo ni namba au ishara, Tafakari

Eugen TZA

Member
Aug 7, 2023
61
98
First of all...
I don't cheat because I'am true.
I don't lie because I'am not scared.
I don't hate because I know.

Kosa huzaa makosa...
Sio mkweli ndio maana unadanganya.
Unadanganya kwa sababu unaogopa.
Unaogopa ndio maana unachukia.
Unachukia kwa kuwa hujui.

Kumbe...
Usipokua mkweli umeruhusu kuwa mwizi.
Usipojiamini umeruhusu kuwa muongo.
Usipojua umeruhusu kuwa shetani.
Asiyejitambua.

Imeandikwa...
Ijue kweli nayo kweli itakufanya huru.
Usipoijua kweli umeruhusu kuwa mtumwa.
Mtumwa ni kijakazi wa anaye(jua).
Jua.

Mwanga wa jua...
Unaangaza katika giza utumwani.
Wengi mwanga huu umewadanganya.
Wakati Mama anaangaza usiku wao wamelala.
Cherubim (Jua/Moto)

Asili yako ni mbalamwezi (Seraphim)
Imeandikwa kesheni kwa kuwa hamjui.
Hamjui siku wala saa.
Tunatambua kwa Mungu hamna masaa.
Mungu ni (Uwepo) katika yote.

Wakristo nikiwaambia...
Yesu alizaliwa mwanaume.
Atarudi mara ya pili akiwa mwanamke.
Hawawezi kunielewa, Una-vibrate lower.
Yesu ni Tammuz ambaye ni Horus (Messiah).

The Most High (Elohim/Eloh/Allah) Elyon (Anu)
Namba yake ni (60) Anafuata YHWH
Au Jah Jah (Jehovah) namba yake ni (50)
Ambao wote ni wamoja na Enki (Ptah/Ea) (40)
Annunaki (Black Headed True God's)

Hii Dunia inaongozwa na shetani (Satan)
Au sayari inayoitwa Saturn 🪐 Imevikwa taji,
The Most High (Anu) namba yake ni (60) = 6,
Satan (Saturn) Anatawala kupitia namba 6,
Uzuri na ubaya wote unatokana na Mungu.

Generator, Operator, Destroyer (GOD)
The number of beast (666) = 9 Pure Adam.
Ukiijumlisha ubaya 666 unapata Ukamilifu (9)
Tuna masaa 24 = 6 Lisaa lina dakika (60) = 6
Sekunde (60) = 6 unapata dakika (60) = 6
Jumla unaipata namba ya shetani (666)

Wengi tumepigwa chata kupitia (Simu/Tv)
(666) inamaanisha Lower Vibration,
Ngono, Chakula, Mavazi kutojitambua n.k
Ukiijumlisha 666 unapata Master Number (9)
Ikimaanisha (Black Headed People) 9 Ether.
Eth-iopia au Wakushi (Earth/Etherians) Uhai.

(666) ni Kifo (Mfu) Asiyejitambua.
6 Ether Albino ni Mfu wa 9 Ether Nuwuabians.
As above so below (69) zote ni ishara/fumbo.
Imeandikwa Mungu Ni Fumbo.
Sasa jiulize tunawezaje kuiishi namba 9
Bila kudondoka katika 6.

Mtu mweusi amezaliwa 9 Ether,
Kulingana na muda/umri atakufa 6 Ether,
6 Ether atakufa roho kulingana na muda/umri,
6 Ether Albino ni kifo cha 9 Ether Nuwuabians,
Na roho (ghost) ndio kifo cha 6 Ether,
Baada ya kifo 6 Ether na 9 Ether watazaliwa upya.

9 Ether ni (Jua) Melanin (Mtu Mweusi)
6 Ether ni (Mwezi) Albino (Wahindi/Wazungu)
Yote haya yanatokea katika mfumo UMOJA
THE ALL (Makundi Siku Zote Yapo Mawili)
Agreeable & Disagreeable
Lakini Primary Creation ni 9 Ether Mtu Mweusi

Kupitia Triple Darkness Alitengenezwa.
1. Kabla ya Mwanga, Nguvu na Maumbo.
2. Kabla ya Muda, Space, na Place (Mahali)
3. Kabla ya Mwili, Roho (Soul), na Spirit.
9 Ether ni muunganiko wa gesi zote za Nature
Hapa lazima Mzungu akuchukie ().

Haya ni maajabu ya namba (69) = 6 (666) = 9 Hizi namba zina siri Gani zaidi ya hapa?
Elimu haina Mwisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom