Muujiza wa hesabu ndani ya Qur-an

Suhendra

JF-Expert Member
Nov 25, 2023
1,066
2,455
Amani iwe juu yenu.

Surat NAHAL.
katika mpangilio wa Qur'an hii ni sura ya (16)

Sura hii ina jumla ya Aya 128.

Je, kuna uhusiano gani kati ya jina la sura na namba ya sura (16), Na namba za Aya 128,

Naam upo mkubwa sana
Kisayansi NAHAL (Nyuki dume)
Ana chromosomes 16, Ambazo ndio namba ya Sura.

Nyuki Jike ana jumla ya chromosomes (2n) ambayo ni 32, Ambayo ni sawa na (16×2)

Kwahio Namba ya Sura 16, inaonyesha chromosomes za Nyuki Dume na Nyuki Jike.

Sura ina Aya 128 hii ina maana ni mara 8 ya Nyuki dume na Mara nne ya jumla ya gawio (proportion) ya namba za chromosomes.

Namba ya chromosomes ni kama namba ya element haibadiriki popote pale duniani.

Neno NAHAL limekuja Mara 1 tu katika Qur'an yote na limekuja katika Aya namba 68.

Katika Aya namba 68 jumla ya maneno yote ni 13, ukichukuwa 68×13=884.

Chakushangaza hapa ni kwamba ukianza kuhesabu maneno kuanzia mwanzo wa sura mpaka ukifikia neno NAHAL utapata vilevile 884.

Lakini utashangaa zaidi kuona idadi ya Aya namba 16 katika Qur'an nzima ni 85 na jumla ya maneno katika Aya zote hizi pia ina kuja 884.

Na chakushangaza kingine ni kuwa idadi ya Aya namba 68 katika Qur'an nzima ni 13 na ukizidisha hizi namba yaani, 13×68 utapata tena 884.

Jumla ya Aya katika sura hii zinazogawanyika kwa 16 ni 16,32,48,80,96,112 na 128.

Ukihesabu jumla ya maneno yote katika Aya hizi utapata 119, Chakushangaza ni kuwa Dramatic Value ya neno NAHAL ni 119.

Chakushangaza tena hapa ni kuwa idadi ya Sura zinazogawanyika kwa 16, kuanzia mwanzo wa Qur'an mpaka Sura hii ni 119.

Tumeona kwa jumla ya Aya zinazogawanyika kwa 16 ni Aya 85 ukizidisha 16×85 tunapata 1360 na tuliona kuwa jumla ya maneno katika Aya hizi ni 884.

Tukijumlisha 1360+884 tunapata 2244, Jumla ya maneno katika Sura hii 1844 idadi ya maneno ukijumlisha na namba ya Sura 16 unapata 1860.

Mwanzo tulipata 2244 tukijumlisha na 1860 utapata 4,104
1;*4,104=*19×216
216=6×6×6×6

Hii namba 6 inakuwa ni namba ya pembe kwenye (hexagon) pembe 6 ambayo ndio Umbo la Asali

2. Namba hii pia ni jumla ya (Numerical value) ya Aya namba 68 Aya ambayo jina LA NAHAL (Nyuki) limetajwa.

Numerical value ni namba ya neno linavyo andikwa katika mfumo wa namba

karibuni katika Uislam.
 
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri, quran ni moja ya kitabu ambacho kipo very unique kuanzia mpangilio wa sura, aya na maneno yake pia kina sayansi na sanaa ya hali ya juu kabisa.
 
Umejifunza wapi?
 
Mimi muislam lakini hizi mambo sizikubali wala nini.
Kwanza aliyepanga surah Fulani ikae namba ngapi sio Allah ni binaadamu tu ndo walipanga. Quran imeshushwa bila mpangilio.

Halafu hizi uhusiano wa namba unaweza kuitafuta na kupata popote hata kwenye Uzi wa tunda kimasihara.
Hongera kwa kuwa muislam lakini bado una safari ndefu ya kujifunza kama una amini Qur'an ni kitabu cha Allah iweje binadamu apange kwa maamuzi yake?
 
Amani iwe juu yenu.

Surat NAHAL.
katika mpangilio wa Qur'an hii ni sura ya (16)

Sura hii ina jumla ya Aya 128.

Je, kuna uhusiano gani kati ya jina la sura na namba ya sura (16), Na namba za Aya 128,

Naam upo mkubwa sana
Kisayansi NAHAL (Nyuki dume)
Ana chromosomes 16, Ambazo ndio namba ya Sura.

Nyuki Jike ana jumla ya chromosomes (2n) ambayo ni 32, Ambayo ni sawa na (16×2)

Kwahio Namba ya Sura 16, inaonyesha chromosomes za Nyuki Dume na Nyuki Jike.

Sura ina Aya 128 hii ina maana ni mara 8 ya Nyuki dume na Mara nne ya jumla ya gawio (proportion) ya namba za chromosomes.

Namba ya chromosomes ni kama namba ya element haibadiriki popote pale duniani.

Neno NAHAL limekuja Mara 1 tu katika Qur'an yote na limekuja katika Aya namba 68.

Katika Aya namba 68 jumla ya maneno yote ni 13, ukichukuwa 68×13=884.

Chakushangaza hapa ni kwamba ukianza kuhesabu maneno kuanzia mwanzo wa sura mpaka ukifikia neno NAHAL utapata vilevile 884.

Lakini utashangaa zaidi kuona idadi ya Aya namba 16 katika Qur'an nzima ni 85 na jumla ya maneno katika Aya zote hizi pia ina kuja 884.

Na chakushangaza kingine ni kuwa idadi ya Aya namba 68 katika Qur'an nzima ni 13 na ukizidisha hizi namba yaani, 13×68 utapata tena 884.

Jumla ya Aya katika sura hii zinazogawanyika kwa 16 ni 16,32,48,80,96,112 na 128.

Ukihesabu jumla ya maneno yote katika Aya hizi utapata 119, Chakushangaza ni kuwa Dramatic Value ya neno NAHAL ni 119.

Chakushangaza tena hapa ni kuwa idadi ya Sura zinazogawanyika kwa 16, kuanzia mwanzo wa Qur'an mpaka Sura hii ni 119.

Tumeona kwa jumla ya Aya zinazogawanyika kwa 16 ni Aya 85 ukizidisha 16×85 tunapata 1360 na tuliona kuwa jumla ya maneno katika Aya hizi ni 884.

Tukijumlisha 1360+884 tunapata 2244, Jumla ya maneno katika Sura hii 1844 idadi ya maneno ukijumlisha na namba ya Sura 16 unapata 1860.

Mwanzo tulipata 2244 tukijumlisha na 1860 utapata 4,104
1;*4,104=*19×216
216=6×6×6×6

Hii namba 6 inakuwa ni namba ya pembe kwenye (hexagon) pembe 6 ambayo ndio Umbo la Asali

2. Namba hii pia ni jumla ya (Numerical value) ya Aya namba 68 Aya ambayo jina LA NAHAL (Nyuki) limetajwa.

Numerical value ni namba ya neno linavyo andikwa katika mfumo wa namba

karibuni katika Uislam.
Hivi jua linawezaje kuzama matopeni?
 
Back
Top Bottom