umbea...............

Katika sheria zenu muongeze small house awe anazo upstairs (alafu na ubinadamu kidogo) ukianguka anakuvumilia hadi utapo nyanyuka tena. lol

Habari ya siku Baba E?

"small house" akiweze kukuvumilia wakati ukiwa huna uwezo wa kwenda kwenye "Umoja Switch - ATM", basi huyo anastahili kuwa "mother house"...!
 
aisee hivi Asprin kwani mwezi wa rozari umeshaanza? mbona kama unasema kaitubio? haya ndahani njoo utoe mapoint hapa wewe unayaamini haya?
Nadhani hoja hapa ya infidelity ni muruwa pia tukaangalia angle ya waathirika na hiyo kitu ambao wanajua kinachoendelea kwa mwenzake lakini hana kauli.
Mie nimeoa na ninajitahidi kwa sehemu kukomaza skills mchangani na mpaka sasa wifey hajagundua kitu (msinijadili).​


 

Ha ha ha ha mimi ndo mshika dau mkubwa wa chama lenyewe.................

Kuna dalili ya mtu kusutwa hapa ngoja nisepe kwanza nikatafute umbea nirudi
 
Katika sheria zenu muongeze small house awe anazo upstairs (alafu na ubinadamu kidogo) ukianguka anakuvumilia hadi utapo nyanyuka tena. lol

Habari ya siku Baba E?
mimi ODM.....wa jf
Naapa kwa majina yangu yote NA JINA LA MWENYEKITI (hapo nimeshika cd compact ya movie za pilau).....!
kwamba nitailinda na kuiheshimu katiba ya INFIDELITY kwa nguvu zangu zote nikiwa kama ''NAPE NNAUYE'' wa chama hichi

MWENYEKITI NISAIDIE
 
"small house" akiweze kukuvumilia wakati ukiwa huna uwezo wa kwenda kwenye "Umoja Switch - ATM", basi huyo anastahili kuwa "mother house"...!
The only difference btn a 3some na sheria namba tatu ni sualala muda...kwamba 3some inafanyika muda huo huo aka simultaneously, wakati kwa sheria namba tatu ni kupasiana lakini muktadha ni huo huo.,.....​


 
Unajua kama Erickb52 alishindwa kumkagua mtu? alivyofika tu eneo la kazi kifaa kikagoma amesukumwaaaaaaaaaaa wee but where
 
Huu umbeya wa ChitChat kidogo unipite ...wanasema hata mkija ukoo mzima kunisuta hamuwezi haha Lizzy naona kaamia mashambani network not reachable
 
Last edited by a moderator:

gfsonwin tangu nisutwe na tarumbeta nishaacha majungu naapa sirudii tena ..:A S cry:
 
Last edited by a moderator:
Unajua kama Erickb52 alishindwa kumkagua mtu? alivyofika tu eneo la kazi kifaa kikagoma amesukumwaaaaaaaaaaa wee but where

lol! kaumbea haka kaazuri kweli hakafai kabi kulala kanipite lol!
 
gfsonwin tangu nisutwe na tarumbeta nishaacha majungu naapa sirudii tena ..:A S cry:

jamani wanaosutwa si wambea bali waongo. hivi unamjua mmbea ni nani? ni mtu yule anayepeleka taarifa kwa mtu pasi kuulizwa na taarifa yenyewe ni ya ukweli.
 
@king'asti una bastola au gobole?


Sasa usingewaita hao wababa manake watatuzidi umbea hapa. Mi naogopa kusema kitu changu, ila kiukwelileo nina mood ya uchonganishi na nna bastola ya kuazima hapa nilipewa na Bashe. Ntarudi kagiza kakiingia
 
hahahahahaha hubby umeanza lini siasa?

halafu mitanzania tuache kupima uongozi kwa kigezo cha ndoa, hao waliooa ndo walioitafuna nchi hii na kujilimbikizia wao na familia zao...aaaaaaaaaaarghhhhhh



 
 
Last edited by a moderator:
bila shaka nizazifikisha hubby, tena 2015 ugombee urais, najiandaa kuwa first lady.....watanikomajeee
Halafu kule umenambia nikutongoze tena nimekutongoza afu umenipotezea. Kwanini lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…