afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,153
- 9,271
Khaaa nilivyo nao mwingi. . .ukiwa na muda njoo kijiweni.
twende mwaya.. ninawashwa kuusikia teh teh teh lolz😛oa
Khaaa nilivyo nao mwingi. . .ukiwa na muda njoo kijiweni.
Hahahaha yani mpaka mimi sikujua? Ngoja nifanye uchunguzi nikiupata kama ulinifukuzia kandege jiandae kufanyiwa sherehe. . . lolz!!
You are right. . namna ya kumwambia mtu inahusika sana. Sema nilikua mtoto, sasa hivi ndio nagundua kwamba uwezekano wa kumsave huyo mtu ulikuwepo sema ndio kama hivyo tena.
he he king'
mwanamke kusutwa suna
matarumbeta kelele
kama maneno yako hata kwenye keki na tunayala
maandazi shibe ya bure
halooooh, acheni nijiachie mie
ntaongelea wapi
huu mdomo ndo unanifanya niitwe kongosho
Nilimsikia dada mmoja jon anasema anayetaka kunisuta mie aje na ukoo wake mzima la sivyo haniwezi
Mie bado kusutwa na haitakaa itokee kamwe
Mtu mwenyewe hata hufai kupikwa supu, sijui ungekuwa kongoro ungejidai vipi!
Afu mie ndo bingwa wa kusuta sasa! Nakutupia neno moja tu, nakuacha na maswali kibao! Unabaki unajiuliza how far does she know?
Hehehe, I still know what you did last summer!!
Ni kweli Gaijin
Mwenyewe naogopa kusutwa sijui siku hiyo ndo nafanyaje ? najitahidi sana kujiepusha na mambo haya.
Siku hizi watoto wa Magomeni na Ilala wanaita "kash:da" unajiwa na matarumbeta, mavuvuzela na Zumari juu, unasutwa kisha "unavuliwa" Ushoga. Nilisikia Kash:da moja Clouds Fm watu walimfuata shoga yao kumsuta kwa matarumbeta, wapiga picha wa televisheni (Channel 5) kisa amewasema redioni kwamba hawakwenda kwenye harusi yake kwa sababu ya wivu. Mwisho wa siku wasutaji wakaondoka na Blender yao waliyompa kama zawadi kwenye Kitchen Party yake!!

Well not really. . .hua naangalia kilichosemwa na aliyesema.Kama ni kitu cha kijinga napotezea, kikinigusa naamuuliza mhusika inakuwaje.
Well not really. . .hua naangalia kilichosemwa na aliyesema.Kama ni kitu cha kijinga napotezea, kikinigusa naamuuliza mhusika inakuwaje.
Hapo pa kumuulza mhusika ndio linapoanzia.