Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,972 Reaction score 168,460 Apr 24, 2012 #1 Jamaa alikuwa anadai akamkuta mdaiwa wake barabarani, akamwambia leo tumekutana lazima unilipe, mdaiwa kamwambia jamaa hunipati najiua akachukua kisu akajichoma akafa. Mdai akasema sikubali nakufuata hukohuko, akajichoma kisu nae akafa. Mmbea mmoja alikuwa anawaangalia pembeni akasema sikubali lazima nione mwisho wa hili picha, nawafuata hukohuko, akaokota kisu naye akajichoma akafa
Jamaa alikuwa anadai akamkuta mdaiwa wake barabarani, akamwambia leo tumekutana lazima unilipe, mdaiwa kamwambia jamaa hunipati najiua akachukua kisu akajichoma akafa. Mdai akasema sikubali nakufuata hukohuko, akajichoma kisu nae akafa. Mmbea mmoja alikuwa anawaangalia pembeni akasema sikubali lazima nione mwisho wa hili picha, nawafuata hukohuko, akaokota kisu naye akajichoma akafa
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Apr 24, 2012 #2 Teh teh teh,inafurahsha.
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,014 Apr 24, 2012 #3 red giant and 3 others like this
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,425 Apr 24, 2012 #4 Deejay nasmile likes your kichekecho Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
P Praff Senior Member Joined Mar 9, 2012 Posts 139 Reaction score 12 Apr 25, 2012 #5 Watadaiana hukohuko kuzimu.
Endangered JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 922 Reaction score 231 Apr 26, 2012 #6 na huyo mmbea sijui atamuhadithia nani sasa.