UMBEA noma!!!!!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,840
Jamaa alikuwa anadai akamkuta mdaiwa wake barabarani, akamwambia leo tumekutana lazima unilipe, mdaiwa kamwambia jamaa hunipati najiua akachukua kisu akajichoma akafa. Mdai akasema sikubali nakufuata hukohuko, akajichoma kisu nae akafa. Mmbea mmoja alikuwa anawaangalia pembeni akasema sikubali lazima nione mwisho wa hili picha, nawafuata hukohuko, akaokota kisu naye akajichoma akafa​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom